• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Jinsi ya kuhamisha mwanafunzi

TARATIBU ZA KUFUATA ILI KUHAMISHA MWANAFUZI

Kumuhamisha Mwanafunzi wa shule ya Msingi

Ili kumuhamisha mwanafunzi wa shule ya Msingi kutoka shule moja kwenda nyingine hatua zifuatazo zinapaswa kufuatwa na mzazi/mlezi:-

1. Mzazi/Mlezi atatakiwa kufika shule anayosoma mwanafunzi na kujaza fomu za uhamisho pamoja na kuchukua kadi ya maendeleo ya mwanafunzi ambayo pia sharti ijazwe na isainiwe.

2. Mzazi/Mlezi atawasilisha shuleni picha sita za pasipoti.

3. Fomu na kadi ya maendeleo ya Mwanafunzi zitasainiwa na mwalimu wa darasa, mwalimu Mkuu Msaidizi na mwalimu Mkuu. Baada ya fomu za uhamisho na kadi ya maendeleo ya mwanafunzi kusainiwa katika ngazi ya shule zitapelekwa kwa mratibu elimu Kata kusainiwa.

4. Baada ya fomu za uhamisho kusainiwa katika ngazi ya Kata itapelekwa na mzazi/mlezi katika ofisi ya afisa elimu wa Halmashauri kwa ajili ya kupitishwa na kusainiwa.

5. Fomu za uhamisho zilizosainiwa na afisa elimu zitapelekwa katika ngazi ya mkoa kupitishwa na kusainiwa an afisa elimu Mkoa. Baada ya kupitishwa na kusainiwa na afisa elimu mkoa fomu hizo zitapelekwa mkoa mwanafunzi anapohamia na kufuata utaratibu tajwa hapo juu isipokuwa kwa upande wa Mkoa mwanafunzi anapohamia taratibu zitaanzia ofisi ya afisa elimu Mkoa kushuka chini.

Angalizo:Ikiwa mwanafunzi anahama kutoka shule moja kwenda nyingine ndani ya Wilaya, taratibu za uhamisho zitaishia ofisi ya afisa elimu wa Wilaya.

Bofya hapa kupakua fomu za uhamisho za ndani na nje ya mkoa na mtiririko wa jinsi ya kuandika barua ya kuomba uhamisho.BARUA YA MAOMBI YA UHAMISHO WA MWANAFUNZI NJE NA NDANI.pdf

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • VIONGOZI WA ELIMU NA WAKUU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI KONDOA DC WANOLEWA KUHUSU MFUMO WA UTHIBITI UBORA WA SHULE KIDIGITALI

    May 14, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA SOERA

    May 13, 2025
  • DED MILLAO AHIMIZA USIMAMIZI MPANGO WA UTUNZAJI MAZINGIRA KONDOA DC

    May 12, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KONDOA AFANYA ZIARA KIJIJI CHA KWAYONDU

    May 11, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.