• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC NYANGASA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA WILAYA - BAJETI (DCC) MWAKA WA FEDHA 2025/2026

Posted on: February 15th, 2026

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa, Mhe. Fatma Nyangasa, ameongoza Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya - Bajeti (DCC) ambacho kimehusisha Halmashauri zote mbili za Wilaya katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri leo Februari 15, 2026.

DC Nyangasa ameongoza Agenda za Kikao hicho ambacho kimehudhuriwa na Katibu Tawala Wilaya ya Kondoa, Wakurugenzi Watendaji, Wenyeviti wa Halmashauri, Watendaji wa Kata, Wakuu wa Idara na Vitengo, Wakuu wa Taasisi, Wafanyabiashara pamoja na Wadau mbalimbali wa Maendeleo.

Agenda kuu za Kikao hicho ilikuwa ni kupokea na kujadili Rasimu ya Randama ya  Mipango na Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026, ambazo zimewasilishwa na Maafisa Mipango wa Halmashauri zote mbili na kutolewa ufafanuzi na Wakurugenzi Watendaji.

Aidha, katika Kikao hicho, Mhe. Fatma Nyangasa, amezipongeza Halmashauri zote kwa kuwasilisha vyema Mipango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 na kuwataka Wakurugenzi Watendaji kusimamia vyema utekelezaji wa Mipango hiyo ili kuleta maendeleo yenye tija ndani ya Wilaya ya Kondoa.

"Ni muhimu kabla ya kuanza utekelezaji wa Mipango hii, kwanza mtoe Elimu ya kutosha kwa Wananchi na Wadau mbalimbali ili waweze kutambua nini wanatakiwa kufanya kwa lengo la kusaidia utekelezaji mzuri Mipango yetu ya kuleta maendeleo" amesema Mhe. Nyangasa.

Akihitimisha Kikao hicho, DC Nyangasa amesisitiza Halmashauri zote mbili kujikita zaidi katika kuongeza vyanzo vya ukusanyaji wa mapato pamoja na kuvisimamia vizuri vile vyanzo vikubwa, vilevile kujiandaa na maandalizi ya Mipango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.

Matangazo

  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGARI October 16, 2025
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • DC NYANGASA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA WILAYA - BAJETI (DCC) MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 15, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI KONDOA DC LAJADILI AGENDA 8, MIRADI NA USTAWI WA WANANCHI

    February 03, 2026
  • DKT.ASHATU AIFUNGUA ZAHANATI YA BERABERA,KONDOA DC

    February 01, 2026
  • WAZIRI DKT.ASHATU KIJAJI ASIFU UTENDAJI KAZI WA MKURUGENZI KONDOA DC.

    February 01, 2026
  • Fungua zaidi

Video

Umeme kufika Kituo cha Afya Mauno-Kondoa:-Mkuu wa Mkoa Dodoma
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri
  • INADES NA KONDOA DC KUSHIRIKIANA KUTUNZA MAZINGIRA VIJIJINI

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • INADES NA KONDOA DC KUSHIRIKIANA KUTUNZA MAZINGIRA VIJIJINI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.