• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DKT.ASHATU AIFUNGUA ZAHANATI YA BERABERA,KONDOA DC

Posted on: February 1st, 2026

Mbunge wa Kondoa na Waziri wa maliasili na Utalii Mhe.Dkt.Ashatu Kijaji ameifungua Zahanati ya BeraBera iliyopo kata ya Kikilo katika Wilaya ya Kondoa.

Akiongoza ujumbe alio ambatana nao, Dkt. Ashatu amekagua majengo na miundombinu ya Zahanati hiyo pamoja na vifaa tiba vilivyopo na kuruhusu baadhi ya huduma kuanza kutolewa zahanati hapo.

Akitoa hotuba yake wakati wa tukio ufunguzi wa Zahanati hiyo,Dkt. Kijaji amewaasa wananchi kuitumia vyema zahanati hiyo na kutunza miundombinu yake.

Aidha Dkt.Kijaji ameambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya kondoa,Mwenyekiti wake na Mhe.Diwani wa Kata ya Kikilo katika zoezi la upandaji miti katika eneo la Zahanati hiyo na kuwaasa wanakijiji kujenga tabia ya kutunza mazingira kwa kufanya hivyo.

Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kondoa Mhe.Salum Mabote amempongeza Mhe.Dkt. Ashatu kwa kuendelea kufanya kwa juhudi na kuendelea kuwahudumia wananchi.

"Mhe.mbunge wetu Dkt.Kijaji anafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha kuwa kondoa yetu inakuwa ni yenye maendeleo na kila mtu anafikiwa na huduma muhimu za kijamii kama hii inayozinduliwa hii leo na kwa namna hii anatekeleza falsafa ya Kazi na Utu kweli kweli" aliongeza Mhe.Mabote

Akiwasilisha salamu zake, Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Kondoa Ndg.Shaban Millao amemshukuru Dkt. Ashatu kwa kuhudhuria uzinduzi huo na kumuahidi utekelezaji uliotukuka wa miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani hapo.

" Ninakushukuru Mhe. Mbunge wetu kwa kuchangia Milioni moja katika umaliziaji wa miundombinu hapa berabera na ninakuahidi kumalizia sehemu ndogo ya kile kikubwa tulichokianza katika zahanati hii na nitahakikisha kwamba tunarudisha tabasamu kwa wananchi wetu" aliongeza Ndg.Millao

 Ujenzi wa zahanati ya Berabera ulianza mwaka 2021 na kuanza matumizi yake mwaka 2026 ambapo zaidi ya Shilingi Milioni 60 zimetumika ikiwa ni fedha kutoka Serikali kuu, Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Kondoa,Mhe. Mbunge Dkt.Kijaji na nguvu ya wananchi.


Zahanati hiyo imekwisha anza na  inaendelea na utoaji wa huduma kama vile maabara,Dawa,uzazi wa mpango,magonjwa ya nje,mkoba tembezi, kliniki za baba mama na mtoto nakadhalika

Matangazo

  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGARI October 16, 2025
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • DKT.ASHATU AIFUNGUA ZAHANATI YA BERABERA,KONDOA DC

    February 01, 2026
  • WAZIRI DKT.ASHATU KIJAJI ASIFU UTENDAJI KAZI WA MKURUGENZI KONDOA DC.

    February 01, 2026
  • INADES-FORMATION & KONDOA DC KUFIKIA MALENGO UPANDAJI MITI

    January 30, 2026
  • MKURUGENZI MILLAO AHIMIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KONDOA DC

    January 27, 2026
  • Fungua zaidi

Video

Umeme kufika Kituo cha Afya Mauno-Kondoa:-Mkuu wa Mkoa Dodoma
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.