• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAZIRI DKT.ASHATU KIJAJI ASIFU UTENDAJI KAZI WA MKURUGENZI KONDOA DC.

Posted on: February 1st, 2026

Mbunge wa Jimbo la Kondoa na Waziri wa maliasili na Utalii  Mhe.Dkt.Ashatu Kijaji amesifu utendaji kazi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Kondoa Ndg. Shaban Millao katika utekelezaji yake sanjari na ukamilishaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo Wilayani hapo.

Dkt.Ashatu ameyasema hayo alipokuwa akifungua  Zahanati ya Berabera katika kata ya Kikilo Wilayani hapo ambapo amewaasa wanakijiji na wananchi kumpa ushirikiano ili awaletee maendeleo.

"Wananchi wa Kondoa tuna bahati kubwa ya kuwa na Mkurugenzi huyu, anatekeleza majukumu mithili ya DC, anatekeleza majukumu yake pia na mengine mengine ni mfano wa kuigwa"

" tunaona jinsi ambavyo miradi ya maendeleo inaendelea vzuri haswa kwa kupitia haya mapato ya ndani, na mimi huko nilipo sina shaka natekeleza majukumu mengine ya Serikali huku ninafahamu kuwa nyuma nina timu nzuri ya kazi" aliongeza Dkt. Ashatu

Aidha Dkt.Kijaji amewaasa wananchi kuwa mabalozi wazuri wa amani katika maeneo yao na kushirikiana na viongozi wa serikali kuanzia ngazi ya chini katika Shughuli mbalimbali za maendeleo.

Waziri Dkt.Kijaji amefafanua kuwa kiu ya Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha maendeleo yanawafikia watanzania wote na kufikisha tabasamu kwao

Matangazo

  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGARI October 16, 2025
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • DKT.ASHATU AIFUNGUA ZAHANATI YA BERABERA,KONDOA DC

    February 01, 2026
  • WAZIRI DKT.ASHATU KIJAJI ASIFU UTENDAJI KAZI WA MKURUGENZI KONDOA DC.

    February 01, 2026
  • INADES-FORMATION & KONDOA DC KUFIKIA MALENGO UPANDAJI MITI

    January 30, 2026
  • MKURUGENZI MILLAO AHIMIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KONDOA DC

    January 27, 2026
  • Fungua zaidi

Video

Umeme kufika Kituo cha Afya Mauno-Kondoa:-Mkuu wa Mkoa Dodoma
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.