• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Elimu sekondari

                       HALMASHAURI YA WILAYA YA KONDOA

                                       Idara ya Elimu Sekondari

                                                   

                                                  

2 (a) MUUNDO WA USIMAMIZI WA ELIMU  YA SEKONDARI KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA



BARAZA LA MADIWANI





 




KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII                                (Elimu, Afya na Maji)







 




MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI







 




AFISA ELIMU SEKONDARI







 




KAMATI YA MAENDELEO YA KATA (WDC)







 




AFISA ELIMU KATA







 




BODI YA SHULE







 




MKUU WA SHULE







 




WALIMU/WATUMISHI WENGINE






















                       

WILAYA YA KONDOA                                                            S.L.P.11,

FAX SIMU: 026-2360313                                                    KONDOA.

026-2360228

E-mail: kdc/@habari.co.tz                                    

 MUUNDO NA MAJUKUMU YA MAAFISA WA IDARA YA ELIMU SEKONDARI

 

1: UTANGULIZI

 

Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, kupitia Idara ya Elimu ina jukumu la kuratibu na kusimamia utoaji wa Elimu ya

 Sekondari kuanzia Kidato cha I hadi cha VI. Sera na miongozo mbalimbali ya elimu hutafsriwa na idara husimamia

 utekelezaji wake kulingana na malengo yaliyowekwa ya utoaji wa elimu ya Sekondari kitaifa na kiwilaya. 

Utoaji wa elimu ya sekondari hufanywa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa elimu

 ndani na nje ya Halmashauri wakiwemo wananchi na jamii kwa ujumla.

2: MUUNDO WA IDARA YA ELIMU SEKONDARI KIUSIMAMIZI NA KIUTENDAJI

 

2 (b)   MUUNDO WA KIUTENDAJI WA ELIMU YA SEKONDARI KATIKA    
                             MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

 



KATIBU TAWALA MKOA




 






AFISA ELIMU MKOA




 






MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI




 

 


AFISA ELIMU SEKONDARI (W)

 

 

 

 
 
 

AFISA ELIMU TAALUMA (W)

 

AFISA ELIMU VIFAA NA TAKWIMU (W)



 





AFISA ELIMU KATA











MKUU WA SHULE











WALIMU/WATUMISHI WENGINE



    

4: MAJUKUMU YA AFISA ELIMU SEKONDARI (W)

 

Ni Mkuu wa Idara ya Elimu Sekondari wa Halmashauri. Majukumu yake ni pamoja na:-

  • Kuiwakilisha  Ofisi ya Rais-TAMISEMI katika Halmashauri kuhusu masuala ya Elimu Sekondari.
  • Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo, sheria na kanuni zinazoongoza utoaji wa Elimu ya Sekondari.
  • Kumshauri Mkurugenzi wa Halmashauri kuhusu masuala yote ya Elimu Sekondari.
  • Kusimamia upanuzi wa Elimu ya Sekondari katika Halmashauri.
  • Kusimamia haki na maslahi ya walimu na watumishi wengine wa ngazi ya Elimu ya Sekondari katika Halmashauri.
  • Kusimamia na kudhibiti akaunti ya inayohusiana na elimu Sekondari na kuhakikisha kuwa fedha za elimu Sekondari zinatumika kama ilivyokusudiwa.
  • Kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya elimu ya Sekondari.
  • Kufuatilia na kutathmini maendeleo ya Elimu ya Sekondari;
  • Kuhakikisha kuwa shule zote za sekondari katika Halmashauri zinainua ubora wa mazingiara ya kujifunzia na kufundishia ikiwa ni
  •  pamoja na utunzaji wa madarasa, nyumba za walimu, makataba, maabara, vyoo na miundombinu mingine.

10.Kusimamaia tathmini ya wazi ya utendaji wa kazi (Open performance Review  and        
    Aprisal Sytem-OPRAS kwa walimu na watumishi wa Sekondari).

    11.Kuhimiza nidhamu ya walimu, watumishi na wanafunzi wa shule za Sekondari                                          
         katika Halmashauri.

   12.  Kufanya kazi nyingine kama itakavyoelekezwa na Mkurugenzi wa Halmashauri.

5: MAJUKUMU YA AFISA ELIMU TAALUMA SEKONDARI WA HALMASHAURI

Afisa Elimu Taaluma wa Sekondari anatekeleza majukumu yafuatayo katika Halmashauri:-

  • Kufuatilia na kusimamia utekelezaji wa taarifa za ukaguzi wa shule za sekondari.

 Kubuni mipango ya mitihani ya elimu ya sekondari na kusimamia utekelezaji wake

   

  • Kuhakikisha kuwa walimu na watumishi wengine wa shuke za sekondari wanafanyiwa tathmini ya wazi ya utendaji kazi
  •  (Open Performance Review and Appraisal System-OPRAS)
  • Kubuni na kuratibu mipango ya mafunzo kazini kwa walimu na watumishi wengine wa shule za sekondari.
  • Kuratibu mashindano ya michezo na Taaluma ya shule za sekondari katika Halmashauri (UMISSETA).
  • Kuratibu utoaji wa huduma mbalimbali kwa wanafunzi wa shule za sekondari katika Halmashauri
  • Kufanya kazi nyingine atakazopewa na Mkurugenzi wa Halmashauri au Afisa Elimu wa Elimu ya Sekondari wa Halmashauri.

 

6: MAJUKUMU YA AFISA ELIMU VIFAA NA TAKWIMU WA SEKONDARI WA HALMASHAURI

Majukumu ya Afisa Elimu Vifaa na Takwimu wa Sekondari wa Halmashauri ni haya yafuatayo:-

  • Kuratibu, kukusanya na kuchambua takwimu za elimu ya Sekondari katika Halmashauri.
  • Kusimamia na kufuatilia ukarabati, upanuzi na ujenzi wa shule za sekondari.
  • Kufanya makisio ya mahitaji ya walimu kimadaraja na kimasomo.
  • Kuagiza na kusambaza vifaa vya shule kulingana na mahitaji ya Halmashauri na shule.
  • Kufuatilia mapato na matumizi ya fedha katika shule za sekondari.
  • Kufuatilia utekelezaji wa huduma mbalimbali kwa wanafunzi
  • Kufanya kazi nyingine kama itakavyoelekezwa na Afisa Elimu wa Sekondari wa Halmashauri au Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri. 

7: MAJUKUMU YA AFISA ELIMU KATA

Majukumu ya Afisa Elimu Kata yamegawanyika katika majukumu ya kiutawala na majukumu ya kitaaluma kama inavyofafanuliwa hapa chini:-

  • Majukumu ya Kiutawala
  • Kusimamia utekelezaji wa sera, kanuni na miongozo ya usimamizi na uendeshaji wa elimu katika kata.


  • Kuwa mshauri wa Kamati ya Maendeleo ya Kata (WDC) katika mambo yanayohusu 
  • Elimu ya Sekondari katika Kata.
  • Kushirikiana na Kamati ya maendeleo ya Kata na Afisa Elimu wa Sekondari kuchagua 
  • maeneo yanayopendekezwa kujenga shule mpya na kuendeleza ujenzi wake.
  • Kufanya ufuatiliaji wa shughuli za ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya shule.
  • Kuhamasisha jamii kuchangia fedha na nguvukazi katika ujenzi wa shule mpya na kuimarisha miundombinu ya shule zilizopo.
  • Kupokea na kupitisha Mpango Shirikishi wa maendeleo ya shule, bajeti na taarifa za utekelezaji
  • Kushirikiana na uongozi wa Kata na vijiji kuhakikisha wanafunzi wanaojiunga na Kidato cha kwanza, 
  • wanaandikishwa, wanahudhuria na kumaliza elimu ya sekondari bila vikwazo vyovyote.
  • Kuratibu upatikanaji wa takwimu za shule za sekondari kwa kushirikiana na Afisa Elimu Vifaa na Takwimu wa Sekondari wa Halmashauri.
  • Majukumu ya Kitaaluma
  • Majukumu ya kitaaluma ya Afisa Elimu Kata ni pamoja na:-
  • Kushirikiana na uongozi wa shule za sekondari katika kupanga na kusimamia mbinu mpya za kusimamia taaluma shuleni.
  • Kushirikiana na menejimenti za Shule za Sekondari katika kuweka mikakati ya kuimarisha ufundishaji na ujifunzaji shuleni.
  • Afisa Elimu Kata ni mkaguzi wa ndani. Hutoa ushauri wa utoaji wa taaluma katika shule za sekondari na kuwasilisha taarifa kwa Afisa 
  • Elimu Sekondari wa Halmashauri. Katika utekelezaji wa jukumu hili atawasiliana na Mkuu wa Shule kupata kumbukumbu zote muhimu.

8: MAJUKUMU YA BODI YA SHULE

Kila shule ya Sekondari katika Halmashauri inapaswa kuwa na Bodi ya shule. Bodi za shule zimeanzishwa kw amujibu wa kifungu

 cha 39 cha Sheria ya Elimu Na. 25 ya mwaka 1978 kikisomwa pamoja na kanuni za elimu. Pamoja na mambo mengine

, Bodi ya Shule itakuwa na majukumu ya kupitia na kuelekeza Wakuu wa Shule kuhusu masuala ya fedha za shule.

 Katika kutekeleza majukumu yake, bodi inatakiwa:-

  • Kupitia, kujadili na kuidhinisha bajeti ya shule
  • Kupitia na kujadili ripoti za fedha za robo mwaka na za mwisho wa mwaka.

 Kuteua kamati ndogo ya kusimamia mfuko wa maduhuli, manunuzi na  ujenzi


  • Kujadili na kupitisha maombi ya manunuzi ya bidhaa, huduma, ujenzi, vifaa na vifaa kufundishia na kujifunzia.

 

9: MAJUKUMU YA MKUU WA SHULE

  • Kusimamia utekelezaji wa mtaala
  • Kuwa Mkaguzi wa ndani na wa awali wa ufundishaji wa walimu.
  • Kupokea na kusajili wanafunzi wapya.
  • Kusimamia mali zote za shule.
  • Kutafsiri,kusimamia na kutekeleza Sera, sharia, ya Elimu, Kanuni na nyaraka mbalimbali za elimu.
  • Kuandaa, kusambaza na kutumia taarifa na takwimu za shule kwa wakati na zikiwa sahihi.
  • Kukusanya na kusimamia mapato na matumizi ya fedha za shule kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za nchi.
  • Kuandaa, kusimamia na kuendesha mafunzo ya ndani kwa walimu ikiwa ni pamoja na kutoa “orientation” kwa walimu wapya.
  • Kusimamia ustawi wa walimu na wanafunzi ili kila mmoja awajibike na apate haki zake zote kadri inavyowezekana.
  • Kuandaa wa jumla wa shule na mpango wa maendeleo, mpango wa kazi na kuwasilisha ngazi mbalimbali kuanzia ngazi ya kata na Halmashauri.
  • Kuwa kiungo kati ya shule na jamii pana.
  • Kuwa Katibu wa vikao vya Bodi ya Shule na kuhakikisha inakuwa hai wakati wote. Bodi huwa na vikao vya kawaida
  •  visivyopungua vine. Bodi ndicho chombo kikuu cha kumsaidia Mkuu wa Shule kuendesha shule.
  • Kufundisha masomo aliyosomea ili kuwa mfano (model) na kuimarisha ualimu wa Mkuu wa Shule.
  • Kusimamia na kudumisha nidhamu kwa wanafunzi na maadili kwa walimu ili kurejesha heshima ya ualimu.
  • Kuboresha mazingira ya shule ikiwa ni pamoja na kuyajanisha na kutengeneza viunga.
  • Kusimamia ukarabati wa miundombinu ya shule yakiwemo majengo na madawati ili yawe katika hali bora wakati wote.



MAAFISA IDARA YA ELIMU SEKONDARI 2017

NA

JINA LA AFISA

CHEO

NAMBA YA SIMU

1

HILDEGARD SAGANDA

AFISA ELIMU (W)

0754649261/ 0714645225/ 0785571203

2

ROBERT A. MWENDWA

AFISA ELIMU VIFAA NA TAKWIMU (W)

0752681482/ 0655317314

3

AMIRI   H. SHEBUGE

KAIMU AFISA TAALUMA(W)

0713729556/ 0752729556

4

PETER   V. SAGATWA

AFISA MSAIDIZI-TAALUMA

0685969999/ 0655735755

5

JONATHAN  Y. PAUL

AFISA MSAIDIZI-TAKWIMU

0717793715


WATUMISHI WENGINE


ASHA NKAMIA
KATIBU MUHTASI

0784776960















































































Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.