Ujenzi wa daraja la kisese ni mradi mkubwa unaogharimu jumla ya shilingi bilioni mbili nukta moja (2,100,000,000.00) mradi unasimamiwa na TARULA kwa ufadhili wa DFID-UK .Hili ni daraja linalounganisha kijiji cha kisese Disa na kijiji cha kisese Sauna ,ni mradi ambao unaenda kutatua tatizo ambalo lilikua linapelekea usumbufu mkubwa ambao iliwalazimu kuzunguka kupitia kijiji cha mapinduzi ambako ni takribani kilomita 8 ili wakazi wa vjiji hivi kuweza kufika kijiji cha kisese disa au kisese sauna.daraja lipo katika hatua ya kumwaga abartment (jamvi).
KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE
Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa
Simu : 0262360313
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.