• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

ZAIDI YA WATU 14,000 KUNUFAIKA NA MRADI MKUBWA WA MAJI KWADELO

Posted on: July 1st, 2025

Mwarobaini wa Adha ya Maji katika Kijiji cha Kwadelo umepata Suluhu ikiwa ni baada ya Uzinduzi wa Mradi mkubwa wa Maji kijijini hapo.

Haya yanajiri ikiwa ni baada ya kukamilika kwa Mradi mkubwa wa maji uliogharimu Jumla ya Tzs Mil 292 kwa Ufadhili wa Kampuni ya Vinywaji ya  Serengeti Breweries ukitekelezwa kwa ushirikiano wa Wakala wa Maji Mijini na Vijijini (RUWASA)na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya AFRICAI ambao umezinduliwa na Mgeni Rasmi Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Jimbo la Kondoa, Mhe.Dkt Ashatu Kijaji mapema Juni 26,2025.

Akizindua Mradi huo Mhe.Dkt Ashatu amesema mradi huo wa maji umetatua changamoto ya maji iliyokua ikiwasumbua wananchi kwa kuhatarisha maisha yao kwa kufata umbali mrefu hususa wanawake.

"Nimpongeze Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuimarisha mashirikiano na Sekta Binafsi nchini,kupitia mashirikiano haya leo hii tunashudia Uzinduzi wa mradi wa maji utakaowanufaisha wananchi zaidi ya 14,000.Nitumie pia fursa hii kuwashukuru Kampuni ya Serengeti Breweries kwa ufadhili huu mkitambua juhudi za Serikali ya awamu ya sita ya kumtua mama ndoo kichwani."alisema Mhe.Dkt.Ashatu.

Mhe.Dkt Ashatu ameongeza akiwataka wananchi kuutunza mradi huo kuanzia kwenye chanzo cha maji ili usaidie vizazi vijavyo.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya Serengeti Breweries Nchini Dkt. Obinna Anyalebechi . amesema kampuni hiyo hadi sasa imeshatoa ufadhili wa miradi ya maji nchini ukiwafikia zaidi ya watu Mil 2 ikitoa fedha kama sehemu ya kuisaidia jamii (CSR)akipongeza ushirikiano mkubwa uliotolewa na wananchi kwa watekelezaji wa mradi huo hadi kukamilika na kuanza kutumika,akiamini kuwa upatikanaji wa maji ni mchango mkubwa katika maendeleo endelevu Duniani akiwaasa wananchi hao kuutunza.

Nao baadhi ya Wananchi waliozungumza katika mahojiano maalum,wameshukuru kukamilika kwa mradi huo wakiahidi kuutunza ipasavyo.

Mradi huu una jumla ya vituo 11, matanki yenye ujazo wa lita 120,000 pamoja na Kisima ukichochea upatikanaji wa maji Wilaya ya Kondoa sawa na 70% kati ya lengo la 85%.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • ZAIDI YA WATU 14,000 KUNUFAIKA NA MRADI MKUBWA WA MAJI KWADELO

    July 01, 2025
  • WITO DHIDI YA HAMASA YA ULAJI MLO KAMILI KWA JAMII WATOLEWA KONDOA DC

    July 01, 2025
  • ELIMU YA BAJETI YA MLENGO WA KIJINSIA KUINUFAISHA KONDOA

    June 26, 2025
  • STAKABADHI GHALANI MUAROBAINI ENDELEVU KWA WAKULIMA WILAYA YA KONDOA

    June 25, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.