• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKURUGENZI MILLAO AHIMIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KONDOA DC

Posted on: January 27th, 2026

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg. Shaban Millao ametoa wito kwa watumishi wote wa wilaya na wananchi kwa ujumla kuzingatia utunzaji wa mazingira katika maeneo yao.

Mkurugenzi Millao ameyasema hayo leo Januari 27, 2026 alipokuwa akijumuika na watumishi katika zoezi la kupanda miti kwenye maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo.

Ndg. Millao amesema kuwa katika wilaya ya kondoa hadi kufikia leo januari 27 miti ya aina mbalimbali zaidi ya 2000 imesambazwa na kupandwa katika maeneo ya shule za msingi na Sekondari, vituo vya afya na maeneo mengine ya kimkakati.

Aidha Ndg.Millao ameainisha umuhimu wa kutunza mazingira kwa ustawi chanya wa maendeleo endelevu ya kijamii na kiuchumi kwa vizazi vya sasa na vijavyo.

Sanjari na hayo, Mkurugenzi Millao amemtakia Kheri ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan.

"Natumia fursa hii kumpa zawadi Mhe.Rais wetu Dkt.Samia Suluhu Hassan Zawadi ya kupanda miti na kutunza mazingira yetu"

"Tunaungana na Mtunza mazingira kinara nchini Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu katika kutimiza azma na maono yake ya kuifanya Tanzania ya Kijani"  aliongeza Ndg Millao

Aidha Ndg. Millao ametoa wito kwa viongozi wa serikali za vijiji na kata Wilayani hapo kuhakikisha zinafuatilia taarifa za wakazi na kuwaandikisha katika Daftari maalum la wakazi lilipo katika ofisi za serikali za mitaa.

Pamoja na mambo mengine, Ndg. Millao ametoa wito kwa viongozi wa serikali za mitaa kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko wa Bima ya Afya kwa wote ili kudumisha mustakbali wa afya bora  kwa jamii.


Zoezi hili adhimu limepambwa na kauli mbiu " Uzalendo ni kutunza Mazingira, Shiriki Kupanda Miti"

Matangazo

  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGARI October 16, 2025
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • MKURUGENZI MILLAO AHIMIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KONDOA DC

    January 27, 2026
  • KAMATI YA LISHE KONDOA DC YAPITIA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE

    January 26, 2026
  • WAZIRI DKT. ASHATU AHIMIZA WELEDI NA UWAWAJIBIKAJI KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU KONDOA DC

    January 24, 2026
  • KAMATI YA LISHE KONDOA DC YAFANYA ZIARA YA KIUTENDAJI

    January 22, 2026
  • Fungua zaidi

Video

Umeme kufika Kituo cha Afya Mauno-Kondoa:-Mkuu wa Mkoa Dodoma
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.