• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

INADES-FORMATION & KONDOA DC KUFIKIA MALENGO UPANDAJI MITI

Posted on: January 30th, 2026

Shirika la Inades-Formation Tanzania kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa limezindua Kampeni ya Panda mti tuilinde kesho katika kijiji cha Salare katika Kata ya Pahi.

Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo,Mkuu wa idara ya mafunzo Bw. Michael Angelo amesema kuwa lengo la mradi huo ni kuongeza hali ya ustahimilivu wa jamii vijijini kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.

"Katika kuunga juhudi za serikali kutunza mazingira, Inades-Formation limewezesha kupanda miti 1057 hapa salare ikiwemo ile 57 ya matunda, pia zoezi hili limeendelea kwa katika vijiji vya mauno na potea ambapo jumla ya miti 2000 inaendelea kupandwa"

"Shirika lina mkakati wa kupanda miti zaidi ya 10,000 kwa kipindi cha januari hadi april mwaka huu" aliongeza Bw. Michael

Bw.michael alihitimisha kwa kutoa salamu za Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo Bi. Jacqueline Nicodemus kwa wageni waalikwa, Mkurugenzi wa wilaya na wanakijiji wote waliohudhuria ufunguzi wa tukio hilo.

Kwa upande wake,Mgeni rasmi katika kampeni hizo, Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Kondoa Ndg. Shaban Millao amelipongeza Shirika la Inades-Formation Tanzania kwa hatua hiyo ya upandaji miti na kutunza mazingira.

Aidha,Ndg Millao ametoa rai kwa wananchi wa vijiji vyote kudumisha utaratibu wa kutunza miti na kuingalia ili suala hilo liwe na tija ambapo amesisitiza kila kaya kupanda miti isiyopungua kumi na kuitunza.

Sanjari na hayo Ndg.Millao amewaagiza viongozi wa vijiji na kata kusimamia suala la mahudhurio ya watoto wenye umri wa kuanza shule, kutoficha watoto wenye ulemavu ndani lakini pia waalimu na wazazi kuzingatia suala la lishe shuleni kwa kuhakikisha wazazi wanachangia chakula. shuleni.

"Mtoto anapokula anapata muda wa kupumzika na kusoma kwa makini sana, hili litaongeza mahudhurio ya watoto wetu shuleni"

" Pia natoa wito kwa wanakijiji na wananchi wote kufuatilia na kujiunga na mfuko wa Bima ya Afya kwa wote uliozinduliwa tarehe 26 januari mwaka huu, hili ni muhimu kwa Ustawi wa jamii yetu" aliongeza Ndg. Millao

Pamoja na mambo mengine, Mkurugenzi millao amewaasa viongozi wa kata na vijiji kulifanyia kazi daftari la Wakazi ili kuweka sawa taarifa za makazi kwa maslahi ya Taifa.

Shirika la Inades-Formation linafanya shughuli zake mbalimbali katika vijiji vitano vya wilaya ya kondoa ambavyo ni Salare,potea.keikei,sambwa na mauno ambapo mradi huu ulianza juni 2025 na unatarajia kukamilika Julai 2028

Matangazo

  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGARI October 16, 2025
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • INADES-FORMATION & KONDOA DC KUFIKIA MALENGO UPANDAJI MITI

    January 30, 2026
  • MKURUGENZI MILLAO AHIMIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KONDOA DC

    January 27, 2026
  • KAMATI YA LISHE KONDOA DC YAPITIA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE

    January 26, 2026
  • WAZIRI DKT. ASHATU AHIMIZA WELEDI NA UWAWAJIBIKAJI KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU KONDOA DC

    January 24, 2026
  • Fungua zaidi

Video

Umeme kufika Kituo cha Afya Mauno-Kondoa:-Mkuu wa Mkoa Dodoma
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.