• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA LISHE KONDOA DC YAPITIA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE

Posted on: January 26th, 2026

Kamati ya Lishe ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Imefanya kikao cha kupitia taarifa ya utekelezaji wa mkataba wa lishe katika kipindi cha mwezi Oktoba hadi Disemba 2025.

Akiongoza kikao hicho, mwenyekiti wa kamati hiyo ambae pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya kondoa Ndg. Shaban Millao amewaongoza wajumbe wa kamati hiyo katika mapitio, uhakiki, maboresho, mashauriano na kutoa maagizo yanayogusa mustakbali chanya wa lishe bora katika shule zote za msingi na sekondari katika  Wilaya hiyo.

Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mkataba huo, Afisa lishe wa Wilaya ya Kondoa Ndg. Khamis Faki amebainisha kuwa asilimia 85.3 ( Milioni 26) ya fedha zilizotolewa kwa ajili ya kutekeleza mkataba huo kati ya mwezi Oktoba hadi Disemba 2025 zimetumika vilivyo ambapo wanawake wajawazito 18,406 walipata huduma ya vidonge vya madini ya chuma na asidi ya foliki (FEFO) ikiwa ni utekelezaji wa asilimia 100.

Nao watoto saba waliibuliwa na kupatiwa matibabu ya utapiamlo mkali sawa na asilimia 100, lakini pia Kwa kipindi cha Oktoba – Disemba, 2025 jumla ya akina mama/walezi  3,657 kati ya 39,318 walio na watoto  wenye umri wa  miezi 0-23  walipewa unasihi  juu ya ulishaji na watoa huduma za afya ngazi ya jamii, sawa na asilimia 100, pia  jumla ya akina mama/walezi  39,318 kati ya 39,318 walio na watoto  wa  miezi 0-23  walipewa unasihi  juu ya ulishaji wa watoto sawa na asilimia 100.

Zaidi ya hayo,Halmashauri imefanikiwa kufanya kikao kimoja cha kamati ya lishe, pia halmashauri ilifanya kaguzi za usalama na ubora wa vyakula ili kuweza kubaini ubora na usalama wa vyakula kwa ajili ya matumizi ya binadamu.

Kwa kipindi cha robo ya pili, kati ya shule 130 (Msingi na Sekondari) zilizopo ni shule 101 pekee zilizobainika kutoa chakula kwa wanafunzi ambapo ni sawa na asilimia 77.69 ambapo hii ni jumla ya  wanafunzi 23,870

Lakini pia Vijiji vyote 84 viliadhimisha siku ya afya na lishe sawa na asilimia 100 ya mwitikio halisi.

Kamati hiyo imeazimia kuendelea na Juhudi za kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa lishe kwa watoto, uchangiaji wa chakula husika, uhamasishaji wa walimu wa lishe kusaga chakula kwenye mashine 8 zenye vinyunyizi wilayani hapa, na uundaji wa kamati hai za lishe za vijiji na kata kwa ujumla.

Pamoja na mambo mengine, mwenyekiti wa kamati hiyo mkurugenzi Shaban Millao ametoa maagizo kwa wajumbe wa kamati hiyo kuhakiki ubora wa takwimu za lishe zinazowasilishwa na kuzifanyia kazi, kualika wadau wenye uwezo kuchangia katika programu za lishe shuleni na kuhakikisha wazazi wanachangia kwa kiwango kinachotakiwa katika programu ya lishe shuleni.

Matangazo

  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGARI October 16, 2025
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE KONDOA DC YAPITIA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE

    January 26, 2026
  • WAZIRI DKT. ASHATU AHIMIZA WELEDI NA UWAWAJIBIKAJI KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU KONDOA DC

    January 24, 2026
  • KAMATI YA LISHE KONDOA DC YAFANYA ZIARA YA KIUTENDAJI

    January 22, 2026
  • MKURUGENZI MILLAO ASISITIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KONDOA DC

    January 20, 2026
  • Fungua zaidi

Video

Umeme kufika Kituo cha Afya Mauno-Kondoa:-Mkuu wa Mkoa Dodoma
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.