• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAZIRI WA UJENZI AKAGUA UJENZI WA DARAJA BAURA NA MASANGE

Posted on: February 4th, 2019

Waziri  wa ujenzi mawasiliano na uchukuzi mh.Eng.Isack Kamwelwe jana terehe 03/02/2019 alitembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa chini ya wizara yake wilayani kondoa ambapo alipata kutembelea maeneo mbambali .Katika ziara hiyo pia mh waziri aliambatana na mwenyeji wake mh Naibu waziri wa uchumi mipango na fedha Dr. Ashatu Kijaji pia meneja wa TANROAD mkoa wa Dodoma.

Ziara ya mh waziri ilianzia katika kijiji cha Baura katika kata ya Kalamba ambapo panatekelezwa mradi wa ujenzi wa daraja kubwa lenye urefu wa mita 70.1 litakalo gharimu fedha za kitanzania bilion 5.8 ambapo ujenzi wake umeanza rasmi tarehe 26/11/2018 na unategemewa kumalizika ifikapo mwezi april 2020.Nikiongea na Injinia msimamizi wa mradi huo ndugu Joseph Nyirenda alisema kila kitu kinachohusika kwenye ujenzi wa daraja hilo kiko eneo la kazi tayari kwa kazi na aliongeza kua wakazi wa eneo hilo watanufaika na ujenzii wa daraja hilo ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa ajira wakati wa ujenzi  huo kwa vijana na akina mama maana wao ndo wenye kuhusika kwa asilimia 90 pia urahisishaji wa upatikanaji wa huduma za kijamii ambalo ndilo lilikua tatizo kubwa hasa wakati wa mvua , maana daraja la baura nikiunganishi cha kata mbili nazo ni kata ya Kalamba na kata ya Haubi. Pia eng nyirenda alisema mbali ya ya ujenzi wa daraja hilo pia kuna ujenzi  wa kipande cha lami mita 1500 ikiwa ni mita 800 kwa upande wa kitongoji cha Bonga na mita 700 kitongoji Chivi .

Baada ya kutoka Baura ziara iliendelea kupitia Haubi hadi Pahi pia Mnenia hadi Masange,Katika kijiji cha masange ,waziri alikagua ujenzi wa daraja la masange ambalo liko katika hatua za mwisho.Daraja hili ujenzi wake ulianza mwezi julai 2018 na litakamilika ifikapo tarehe 20/02/2019 na kugharimu fedha za kitanzania zaidi ya bilion 1.Nikiongea na eng Joseph Damian kutoka kampuni ya HEMA TECH INVESTMET LIMITED alisema daraja litakamilika kwa wakati na kwa tarehe tajwa hapo juu bila visingizio vya aina yoyote.

Baada ya ukaguzi huo Mh waziri alipata wasaa wa kuongea na wananchi wa masange nakumpa yao yanayowasumbua ,ambapo miongoni mwa vitu ambavyo mh Kamwelwe aliviongelea ni pamoja na kushughulikia barabara za baura Haubi hadi pahi pia barabara ya Mnenia masange kisese hadi kikore, pia waziri alisema atahakikisha ujenzi wa  visima 15 vya maji ambavyo bado kati ya 30 vinavyojengwa Halmashauri ya kondoa vinajengwa ili kuondoa shida ya maji ambayo inaonekana kua tatizo kubwa kwa wakazi wa  wilaya hii.

Pamoja na kushukuru na kufurahia mapokezi ya wananchi wa masange ambao walijitokeza kwa wingi wakiimba nyimbo na kucheza ngoma za jadi wakimshukuru waziri kwa kusikia kilio chao waziri Kamwelwe alisema haya yote ni kwa sababu ya  chaguo sahii walilo fanya kwa kumchagua mbunge wao mahili na mpiganaji mh kijaji.Baada ya ya hotuba iliochukua takribani masaa mawili aliwasa wananchi kuzingatia utunzaji wa miundo mbinu hii maana serikali inatumia gharama kubwa katika kuitekeleza ili kuwaletea wananchi maendeleo na kusogeza huduma za kijamii karibu kwa wananchi wake ili kuharakisha shughuli za maendeleo kuelekea Tanzania ya Viwanda ,Pia Mkuu wa wilaya ya kondoa mh, Sezaria Veneranda Makota alipongeza juhudi zinazofanywa na serikali katika kuwaletea wananchi wake maendeleo.

Chanzo cha habari hii ni www.kondoadc.go.tz

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.