• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAZAZI WENYE WATOTO WASIOCHANGIA CHAKULA MASHULENI KUBANWA.

Posted on: January 23rd, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mh.Dkt Khamis Mkanachi mapema tarehe 23/01/2024 amewaagiza Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kuwatangazia wanachi wote kwenye kata zao kuwa kuanzia wiki ijayo msako wa nyumba kwa nyumba utafanyika kuwakamata na kuwachukulia hatua wazazi wa wanafunzi wote ambao hawajachangia chakula mashuleni.

Dkt. Mkanachi ameyasema hayo kwenye kikao cha lishe robo ya pili kilichofanyika katika ukumbi wa miktano jengo jipya la halmashauri lililopo Bukulu kilichowakutanisha baadhi ya Wakuu wa Divisheni, Maafisa Tarafa pamoja naWatendaji wa Kata kwa kufanya tathmini ya pamoja ya utekelezaji wa mkataba wa lishe kwa kipindi cha Julai –Disemba 2023/2024.

Dkt.Mkanachi aliendelea kuwasisitiza wajumbe wa kikao hicho kila mmoja kwa nafasi yake kuendelea kutimiza majkumu yao kwa weledi ikiwemo utoaji elimu ya kutosha juu ya umuhimu wa lishe majumbani na shuleni.

Katika kikao hicho wajumbe walijuzwa hali ya utekelezaji wa viashiria vya mkataba wa lishe ngazi ya halmashauri ikiwemo fedha zilizotengwa ,kutolewa na kutumika kwa kipindi cha Julai –Disemba2023 ni Tsh 42,734,899 sawa na 100.77%,Utoaji wa Vidonge vya Madini ya Chuma na Asidi ya Foliki (FEFO)kwa wanawake wajawazito 17416,matibabu kwa watoto 38 wenye utapiamlo,shuule za msingi na sekondari 129 zinatoa chakula shuleni,Watoto wapatao 41,145 walipewa Matone ya Vitamin A na Dawa za minyoo kwa kipindi cha Julai-Disemba 2023 n.k.

Pia katika kikao hicho tahadhari ilitolewa kwa wananchi kzingatia usafi ili kuepukana na magonjwa ya mlipiko ikiwemo kipindupindu na ugonjwa wa macho mekundu (RED EYES) yaliyozuka hivi karibuni kwa kutangazwa na wizara ya Afya.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.