• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WATAALAM WA ELIMU NA VIONGOZI WAWEKA KAMBI KONDOA

Posted on: December 5th, 2023

Wataalam wa Elimu na viongozi mkoa wa Dodoma wamekutana ukumbi wa mikutano chuo cha ualimu bustani wilayani kondoa kufanya kikao kazi maalum chenye kauli mbiu isemayo ‘’Uwajibikaji Wangu ni Msingi wa Kuinua Ubora wa Elimu na Ufaulu Dodoma’’. 

Kikao hicho kimewakutanisha Viongozi na wataalam wa elimu ngazi ya mkoa na wilaya kwa kuwakutanisha maafisa elimu awali&msingi ,sekondari ,teachers service commission (TSC) ,Chama cha walimu Tanzania (CWT) pamoja na wadhibiti uubora ngazi ya halmashauuri zote 8 za mkoa wadodoma

Akifunguua kikao kazi hicho Afisa Elimu Mkoa wa Dodoma Mw.Vicent Kayombo ametmia nafasi hiyo kuwaagiza Wataalam wa Elimu na Viongozi Mkoa wa Dodoma kuhakikisha ufatiliaji maalum Mashuleni unazingatiwa kwa kufuata muongozo uliotolewa na Ofisi ya Rais TAMISEMI,Mazoezi kwa wanafunzi yasiyopungua 20 na kusahihishwa ,Wanafunzi kupatiwa kazi za Nyumbani ,Uimarishaji ukakamavu kupitia Mazoezi ya Michezo shuuleni ,Ufundishaji muda wa ziada kwa kuzingatia taratibu ,Miongozo na Maelekezo ya Wizara ,Vikao na wazazi kufanyika,Kutojiingiza kwenye Udanganyifu pamoja na Matumizi ya Lugha ya Kingereza katika uendeshaji wa vikao ngazi ya sekondari.

Katika kikao hicho Mada mbalimbali zimejadiliwa zikiwemo Uongozi na Usimamizi wa Shughuli za Elimu ,Mkakati wa Urejeshaji Wanafunzi Shuleni ,Usimamizi wa Miradi ya Shule ,Tathmini ya Maendeleo ya Elimu pamoja na Rasimu ya Mkakati wa Elimu Mkoa wa Dodoma.

Kikao kazi hicho kitadumu kwa muda wa siku 4 kwa kuanza tarehe 5/12/2023 na kuhitimishwa siku ya tarehe 8/12/2023 ambapo Mgeni rasmi wa ufungaji wa kikao kazi hicho anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh.Rosemary Senyamule.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 12, 2025
  • RC SENYAMULE AFANYA ZIARA KONDOA DC

    May 13, 2025
  • ELIMU YA UZUIAJI UPOTEVU WA NAFAKA KUWA SULUHISHO LA USALAMA WA CHAKULA KONDOA DC

    May 11, 2025
  • WANANCHI KIJIJI CHA ITUNDWI WAADHIMISHA KWA VITENDO SIKU YA AFYA NA LISHE

    May 07, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.