• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WARAGHIBISHI MASUALA YA KIJINSIA WILAYA YA KONDOA WAJENGEWA UWEZO

Posted on: June 21st, 2025

Timu ya Waraghibishi Halmashauri ya Wilaya na Mji Kondoa wamepata Mafunzo dhidi ya Masuala ya Kijinsia na Uwezeshaji Wanawake Kiuchumiu pamoja na mbinu za kupambana na Ukatili wa kijinsia.

Haya yamejiri ikiwa ni baada ya kufanyika kwa zoezi la Uraghabishi kwenye Kata ya Keikei (Kondoa DC)na Suruke (Kondoa TC) kupitia ushirikiano wa Mtandao wa Kijinsia Nchini (TGNP) na "The Aghakan Foundation" chini ya Ufadhili wa Ubalozi wa Ireland Nchini katika Mradi wa Tuinuke Pamoja kwa kuanzisha Vituo vya Taarifa na Maarifa.

Akizungumza katika mahojiano maalum , Mwezeshaji wa Jamii katika Masuala ya Kijinsia Ndg.Deogratius Temba amesema lengo la mafunzo hayo ni kuwaongezea uelewa Waraghibishi hao katika kuongeza ufanisi na utendaji kwenye Vituo vya Taarifa na Maarifa ili kupata matokeo makubwa zaidi wakishirikiana na Viongozi wa Serikali kwenye maeneo yao.

"Uanzishwaji wa vituo hivi umesaidia utoaji wa elimu kwa jamii kwa kuzingatia makundi mbalimbali wakihamasisha usawa wa kijinsia kupitia mikutano ya kijiji, makongamano na midahalo." alisema Ndg. Temba.

Ndg.Temba amegusia mada muhimu watakazofundishwa  zikiwemo umuhimu wa ujenzi wa nguvu ya pamoja, shughuli za uhamasishaji maendeleo ya jamii , akielezea tumaini lao katika kuleta mabadiliko makubwa kwa kuongeza ufanisi wa utendaji kwenye vituo vya maarifa na taarifa ili kuongeza nguvu kubwa ya kufanya kazi.

Naye Bi.Fredina Saidi ambaye ni Mwezeshaji wa Mafunzo hayo amesema Uraghibishi ni kama taa inayoona vitu kwenye jamii ikitafuta majawabu ya utatuzi wa changamoto kwa majadiliano ikiwa ni njia pekee ya kuleta fursa katika utatuzi wa changamoto zilizopo katika jamii kwa kuzingatia Uibuaji, Uchambuzi na Ufuatiliaji.

Mafunzo haya ni siku nne kwa  Waraghibishi hao yanafanyika katika Viwanja vya Riverside Kondoa Mjini.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • ELIMU YA BAJETI YA MLENGO WA KIJINSIA KUINUFAISHA KONDOA

    June 26, 2025
  • STAKABADHI GHALANI MUAROBAINI ENDELEVU KWA WAKULIMA WILAYA YA KONDOA

    June 25, 2025
  • WALIMU NA MAAFISA ELIMU KATA KONDOA DC WAJENGEWA UWEZO WA USIMAMIZI UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI

    June 21, 2025
  • WARAGHIBISHI MASUALA YA KIJINSIA WILAYA YA KONDOA WAJENGEWA UWEZO

    June 21, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.