• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WANANCHI KIJIJI CHA ITUNDWI WAADHIMISHA KWA VITENDO SIKU YA AFYA NA LISHE

Posted on: May 7th, 2025

Wananchi wa Kijiji cha Itundwi kata ya Mnenia Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa wameadhimisha Siku ya Afya na Lishe kwa vitendo.

Maadhimisho hayo yamekwenda sambamba na ushiriki wa pamoja na wataalam wa lishe kutoka Halmashauri pamoja na Shirika lisilo la kiserikali Inades Formation Tanzania kwa wananchi hao kupatiwa Elimu ya Lishe pamoja na Upimaji wa Afya.

Akizungumza katika mahojiano maalum Afisa Lishe Halmashauri Ndg. Khamis Faki amesema maadhimisho hayo hufanyika mara moja kila baada ya miezi mitatu, akipongeza ushiriki wa Shirika la Inades Formation katika maadhimisho hayo pamoja na juhudi za halmashauri katika kutekeleza azma ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kupambana dhidi ya matatizo ya lishe yakiwemo Udumavu na Utapiamlo mkali.

"Wananchi wamepata elimu ya lishe, magonjwa yasiyoambukizwa, makundi ya vyakula na mapishi mchanganyiko, pamoja upimaji wa Afya zao bure  dhidi ya hali zao za lishe, Presha, Kisukari, UKIMWI pamoja na Malaria. Zoezi hili ni endelevu katika vijiji vingine "ameongeza Ndg. Faki.

Naye Afisa Lishe kutoka Shirika lisilo la Kiserikali Inades Formation Tanzania Ndg. Deis Molla amesema kijiji cha Itundwi ni miongoni mwa vijiji nufaika vya mradi unaotekelezwa na Shirika hilo, wakiadhimisha pamoja na wananchi wa kijiji hicho kwa kuwapa elimu ya lishe kuhusiana na makundi mbalimbali ya vyakula kulingana na mwongozo wa lishe unaotumika Tanzania Bara, ufanyikaji wa maonyesho ya makundi mbalimbali ya vyakula kwa kuzingatia namna sahihi ya kuviandaa na kuyala kulingana na umri, uzito na hali na hali ya mtu husika sambamba na upikaji wa vyakula vya asili kwa kuzingatia makundi mbalimbali ya vyakula.

Bi. Molla ameongeza kwa kuwahimiza wananchi kuzingatia mlo kamili kwa kuzingatia makundi ya chakula pamoja na uzingatiaji wa usafi na usalama katika maandalizi ya chakula.

Kwa upande wao baadhi ya Wananchi walioshiriki katika maadhimisho hayo wamepongeza utoaji wa elimu hiyo ya lishe, wakiomba kuwa liwe ni zoezi endelevu pamoja na kuahidi uzingatiaji wa ulaji wa chakula bora kwa kuzingatia makundi mbalimbali ya vyakula.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 12, 2025
  • RC SENYAMULE AFANYA ZIARA KONDOA DC

    May 13, 2025
  • ELIMU YA UZUIAJI UPOTEVU WA NAFAKA KUWA SULUHISHO LA USALAMA WA CHAKULA KONDOA DC

    May 11, 2025
  • WANANCHI KIJIJI CHA ITUNDWI WAADHIMISHA KWA VITENDO SIKU YA AFYA NA LISHE

    May 07, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.