• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WALIMU NA MAAFISA ELIMU KATA KONDOA DC WAJENGEWA UWEZO WA USIMAMIZI UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI

Posted on: June 21st, 2025

JISerikali kwa kushirikiana na Wadau wa Elimu imetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo Walimu, Viongozi wa shule na Maafisa elimu kata kupitia mpango wa JEZEKE (Jenga Zekevu kwa Elimu ya Kujifunza kwa Ufanisi).

Mafunzo hayo yamefanyika mapema leo Juni 17, 2025 katika Ukumbi wa Mikutano Kondoa Irangi, Kondoa Mjini  yakilenga kuboresha usimamizi wa ufundishaji na ujifunzaji mashuleni ili kuinua ubora wa elimu ngazi ya msingi.

 Akizungumza wakati ufunguzi wa mafunzo hayo Mratibu wa Mradi wa SHULE BORA  Mkoa wa Dodoma Mwl. Jeni Amani ameipongeza na kuishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa jitihada zake za kuhakikisha inaboresha mazingira bora kwa wataalamu wa elimu katika ujifunzaji na ufundishaji ambapo hadi kufikia sasa ushirikiano uliipo na Serikali ya Uingereza kupitia mradi wa Shule bora Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa imenufaika na mafunzo mbalimbali kwa wataalamu wake wa elimu ikizingatia vipaumbele katika ubora wa ufundishaji, ujifunzaji, elimu jumuishi,  uimarishaji wa mifumo pamoja na kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.

Kwa upande wake Mratibu wa mafunzo ya Shule bora katika Halmashauri Mwl. Benedict George amesema mafunzo hayo yatakuwa ya siku tatu yakilenga Jumla ya washiriki 121 (Walimu Wakuu na Maafisa Elimu kata).

 "Katika mafunzo haya tunatarajia kufanikisha malengo kama inavyotakiwa, kwakua walimu wemedilishana ujuzi na maarifa mbalimbali hasa katika masuala ya ufundishaji" ameongeza Mwl.Benedict.

Aidha kwa upande wao wanufaika wa mafunzo hayo wamesema wameyapokea vizuri kwakua yatawajengea uwezo mzuri katika ufundishaji  utakaoleta matokeo chanya kwa wanafunzi hasa katika kuziongoza vizuri taaisi za elimu, ili kuleta matokeo chanya hasa katika kuongeza ufaulu kwa wanafunzi ndani ya Mkoa wa Dodoma.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • ELIMU YA BAJETI YA MLENGO WA KIJINSIA KUINUFAISHA KONDOA

    June 26, 2025
  • STAKABADHI GHALANI MUAROBAINI ENDELEVU KWA WAKULIMA WILAYA YA KONDOA

    June 25, 2025
  • WALIMU NA MAAFISA ELIMU KATA KONDOA DC WAJENGEWA UWEZO WA USIMAMIZI UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI

    June 21, 2025
  • WARAGHIBISHI MASUALA YA KIJINSIA WILAYA YA KONDOA WAJENGEWA UWEZO

    June 21, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.