• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BIOMETRIKI KONDOA DC WALA KIAPO ZOEZI LA UBORESHAJI DAFTARI

Posted on: December 10th, 2024

Waandikishaji Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Biometriki wamekula kiapo mbele ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kondoa Mhe.Selemani Shungu Selemani tayari kwa mafunzo ya siku mbili pamoja na kuanza rasmi utekelezaji wa kazi ya uboreshaji wa Daftari la Wapiga kura.

Kiapo hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano Chuo cha Ualimu Bustani Kondoa Mjini ambapo Waandikishaji Wasaidizi, Waendesha Vifaa vya Biometriki, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya kata 21,Maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Timu ya Uboreshaji Halmashauri wamehudhuriwa wakiongozwa na Afisa Mwandikishaji Halmashauri Ndg.Peter Ngomuo.

Akizungumza na wapokea mafunzo hayo Mjumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi Mhe.Jaji Asina Omary ambaye ni Mgeni Rasmi katika mafunzo hayo amesema"Nyinyi ni Sura ya zoezi letu,mkakumbuke matumizi mazuri ya lugha,mfahamu majukumu yenu na viapo vyenu vikawe chachu."

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg.Shaban Millao amesema "ni zoezi muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu,wekeni umakini katika mafunzo haya na wakati wa zoezi litakapoanza hakikisheni mnazingatia muda".

Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga kura unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 11hadi 17 Desemba 2024 katika vituo 313 vya halmashauri,ambapo wapiga kura wapya wataandikishwa na wengine kuboresha taarifa zao pamoja na kuwaondoa wote wasio na sifa za kuwa wapiga kura.

Pia zoezi hili linaongozwa na kauli mbiu isemayo "Kujiandikisha kuwa Mpiga kura ni Msingi wa Uchaguzi Bora ".

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.