• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

VIONGOZI, WATUMISHI NA WANANCHI WASHIRIKI USAFI WA MAZINGIRA WA MWEZI HOSPITALI YA HALMASHAURI YA HALMASHAURI KONDOA -BUKULU

Posted on: May 26th, 2024

Viongozi, Watumishi na Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya Kondoa Dk. Hamis Mkanachi, wameshiriki usafi wa pamoja katika mazingira ya Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa iliyopo Bukulu.

Akizungumza na hadhira hiyo Dk.Mkanachi  amewapongeza kwa kuitumia siku ya usafi wa mwisho wa mwezi kujumuika pamoja kusafisha mazingira ya hospitali, lengo likiwa ni kuongeza usalama wa mazingira yanayozunguka hospitali hiyo.

Naye Bi.Christina Kalekezi  ambaye ni Katibu Tawala amewapongeza watumishi hao na Jamii kwa kuitaka hadhira hiyo kuwa mabalozi kwa wengine kusafisha mazingira yao ya kazi pamoja na makazi, akiwataka kujitokeza tena kushiri usafi wa pamoja jumamosi ya Tarehe 1/06/2024 kama sehemu ya kuadhimisha miaka 60 ya Mbio za Mwenge wa Uhuru nchini ambao kwa sasa unaendelea kuzunguka katika halmashauri zote nchini na kwa halmashauri ya Wilaya ya Kondoa unatarajiwa kupokelewa tarehe 1/07/2024.

Naye Diwani wa kata ya Soera Mh.Jamilah Gamaha amepongeza mashirikiano ya pamoja baina ya watumishi wa afya na wananchi, akipendekeza liwe zoezi endelevu kwa kutenga siku maalum katika wiki kuendelea kuboresha mandhari ya hospitali hiyo ili kuongeza usalama na mvuto kwa shughuli za kitabibu kwa watumiaji wa hospitali hiyo.

Akihitimisha kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji, Afisa Mipango na Uratibu Ndg.Joshua Mnyang'ali ameshukuru na kupongeza kwa watumishi na wananchi waliojitokeza kusafisha mazingira hayo,akiwaasa kuwahamasisha wengine kujitokeza kwa wingi kushiriki pamoja zoezi la usafi siku ya tarehe 1/06/2024 katika hospitali hiyo.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.