• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

UKATILI WA KIJINSIA WAPIGWA VITA KONDOA DC

Posted on: December 2nd, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa  imezindua kampeni ya Siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia katika shule ya Msingi Isabe.

Akizindua kampeni hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Ndg.Shaban Millao, Ndg. Emmanuel Mvungi ameisisitiza jamii kwa ujumla kuchukua hatua za kupinga, kukataa,kukemea ukatili wa kijinsia.

"Vitendo vya kikatili vinafanyika kwenye makundi yote katika jamii hasa kundi la wanawake ambalo linakumbwa zaidi na matendo ya ukatili na unyanyasaji kama takwimu na utafiti wa afya ya idadi ya watu Tanzania ya mwaka 2022 zinaonyesha 30%ya wanawake na wasichana wenye umri wa miaka 15-49 wameshuhudia unyanyasaji wa kimwili/kingono."amesema ndg.Mvungi.

Kwa upande wake mwakilishi Dawati la Jinsia Mkoa Bi.Zuhura Muhujo amesema kuna aina mbalimbali za ukatili ambazo zinaweza kumuathiri mtu kimwili, kiakili, kiuchumi au kiafya ambao ni ukatili wa kimwili, kingono,Kisaikolojia na wa kiuchumi.

Bi.Juliana Mvungi ambaye ni Hakimu Mwandamizi na Mratibu wa Chama cha Mahakimu na Majaji wanawake Tanzania (Coordinator TAWJA -Dodoma) amewaasa wazazi na walezi kuacha  tabia ya kulimaliza kifamilia katika masuala ya ukatili kwa watoto akiwataka kuchukua hatua, akielezea msimamo wa Mahakama ya Tanzania  kuwathamini watoto  ikihakikisha inayapa kipaumbele mashauri yote ya ukatili wa kijinsia.

Akihitimisha hafla hiyo ya Uzinduzi wa kampeni hiyo Diwani mwenyeji wa kata ya Soera Mhe.Jamilah Gamaha amepongeza uzinduzi wa kampeni hiyo kufanyika kwenye kata yake akiahidi kuyafanyia kazi pamoja na Wananchi wa kata hiyo katika kutokomeza ukatili wa kijinsia.

Uzinduzi wa Kampeni ya Siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia unaongozwa na kauli mbiu isemayo Kuelekea miaka +30 ya Beijing CHAGUA kutokomeza ukatili wa kijinsia ".

Pia hafla hiyo imewakutanisha wageni mbalimbali kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma wakiongozwa na Afisa Maendeleo ya Jamii, Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania(TAWJA-Dodoma),

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.