• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TIMU WEZESHI YA UNCDF YAPIGA HODI KONDOA DC

Posted on: January 22nd, 2025

Wataalam toka Taasisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulika na upatikanaji na utunzaji wa Mitaji katika nyanja ya mazingira (UNCDF) wamepiga hodi katika Halmashauri ya Wilaya Kondoa na kuendesha Kikao kazi kwa Wakuu wa Divisheni  na Vitengo wa Halmashauri hiyo.

Akiongoza kikao hicho Mwakilishi kutoka Taasisi hiyo Dkt.Aine Mushi amesema mafunzo hayo, yanalenga kuendeleza awamu ya Pili ya Mfumo huu,ambapo halmashauri zote nchini zilizopo katika Mfumo huu,zitalazimika kuandaa miradi ya kimkakati ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi ili kupata rasilimali fedha toka kwa wadau wa maendeleo, na fedha hizo kutumwa moja kwa moja kuja Halmashauri kupitia Hazina.

"Mfumo huu ambao kimsingi sio mradi, unalenga kuwajengea uwezo Wataalam wa Halmashauri ambapo wataandaa nyaraka zote muhimu kama vile Mpango Mikakati wa Halmashauri ili kuweza kuandaa maandiko ya miradi ya Maendeleo inayosaidia Jamii kupambana na athari za mabadiliko ya Tabia nchi'   amesema Dkt.Aine Mushi.

Dkt.Aine amesema shughuli hizi zinawezeshwa na nchi marafiki ambao pia ni Wadau wa Maendeleo kama vile Balozi mbali mbali hapa nchini zikiwemo:Norway, Ireland, Ubelgiji na Umoja wa Ulaya-EU.

Kikao kazi hicho kimefanyika Januari 17,2025 kikilenga kuwapa uelewa na kuwajengea uwezo wa awali wa Mfumo Mpya unaopigiwa chapuo na Taasisi hiyo,kuwajengea uwezo Wataalam wa Halmashauri katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya Tabia nchi.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.