Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa anapenda kuwatangazia nafasi za ajira ya muda kwa ajili ya kukusanya taarifa kwenye zoezi maalum la anwani za makazi katika kata 21 na vijiji 84 vya halmashauri ya wilaya kondoa.Kwa taarifa kamili bofya hapa.MAOMBI YA KAZI YA ANWANI ZA MAKAZI KDC.pdf
KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE
Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa
Simu : 0262360313
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.