• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Taarifa ya Maendeleo ya Elimu Wilaya ya Kondoa

Posted on: February 16th, 2018

MKurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kondoa hayupo pichani  apokea taarifa ya maendeleo ya Elimu ya msingi na sekondari kwa mwaka 2017/2018 ,Katika taarifa hiyo imezitaja shule za msingi tatu bora ambazo ni shule ya kiislam ya IQRA ya pahi kata ya pahi shule ya msingi Potea kata ya pahi na shule ya msingi Sauna kata ya Kisese pia shule za sekondari tatu bora ni Loo sekondari kata ya kalamba ,Kisese sekondari kata ya Kisese na Kikilo sekondari Kata ya Kikilo.Pia shule za sekondari ambazo zimeingia kumi bora kimkoa ni Loo sekondari, Kisese sekondari,Kikilo sekondari na Bukulu sekondari na shule tano bora kwa ufaulu wa jumla ni kalamba sekondari, ororimo sekondari,Busi sekondari, Tanner girls na Kikilo sekondari pamoja na hili mkurugenzi wa wilaya ya Kondoa Mwl. Faresy Kibasa ameahidi kutumia mda wake mwingi katika kupambana na kuhakikisha shule za skondari na msingi zinafanya vizuri zaidi ya zilivofanya mwaka jana. Katika kikao hiki waliohudhuria ni Mh, mkuuwa wilaya Mgeni Rasmi ya kondoa,Katibu tawala wa wilaya Maafisa elimu msingi na sekondari ,waheshimiwa madiwani Kamati ya ulinzi na usalama ,Maafisa elimu kata ,Walimu wakuu , wakuu wa shule na wageni waalikwa toka ndani na nje ya wilaya ya kondoa.

Matangazo

  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGARI October 16, 2025
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • DC NYANGASA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA WILAYA - BAJETI (DCC) MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 15, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI KONDOA DC LAJADILI AGENDA 8, MIRADI NA USTAWI WA WANANCHI

    February 03, 2026
  • DKT.ASHATU AIFUNGUA ZAHANATI YA BERABERA,KONDOA DC

    February 01, 2026
  • WAZIRI DKT.ASHATU KIJAJI ASIFU UTENDAJI KAZI WA MKURUGENZI KONDOA DC.

    February 01, 2026
  • Fungua zaidi

Video

Umeme kufika Kituo cha Afya Mauno-Kondoa:-Mkuu wa Mkoa Dodoma
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri
  • INADES NA KONDOA DC KUSHIRIKIANA KUTUNZA MAZINGIRA VIJIJINI

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • INADES NA KONDOA DC KUSHIRIKIANA KUTUNZA MAZINGIRA VIJIJINI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.