• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

NMB NA KONDOA-DC WAADHIMIDHA SIKU YA MICHEZO DUNIANI

Posted on: April 6th, 2019

Katika  kuadhimisha siku ya michezo Duniani wafanya kazi wa halmashauri ya wilaya ya kondoa kwa kushirikiana na wafanya kazi wa Bank ya NMB Kondoa wamefanya Bonanza la pamoja lililofanyika katika fukwe za Hotel ya River side iliyoko kondoa .Bonanza hilo lilifanyika majira ya jioni likiwa na lengo la kujenga ushirikiano baina ya pande hizi mbili pia kujenga  afya ,upendo na ville vile michezo hujenga umoja katika jamii.

 Kwa upande wa halmashauri ya kondoa wafanya kazi wake waliongozwa na Kaimu mkurugenzi ndugu Archanus Kilaja akisaidiwa na Afisa utamaduni wa wilaya ndugu Mohamed Chilo wote  kwa pamoja bega kwa bega kuhakikisha wanamichezo wao wanafanya kile walichotakiwa kufanya.

Bank ya NMB wafanya kazi wake walingozwa na meneja wa bank hiyo bwana Francis Mwita Marire akisaidiwa na mwana mama machachari maarufu kama madam Ikonda ambao kwa pamoja walipeperushwa bendera ya upande wao kuhakikisha wanaondoka na ushindi. Kwa upande  wa michezo iliokua ikishindaniwa ni pamoja na kuruka chini wanaume na wanawake ,kukimbia mita mia moja ,kuvuta kamba,kufukuza kuku ,kupiga push-up pamoja na kucheza mpira wa miguu.

Wakati wa mashindano yakifanyika pande zote mbili zilipambana vilivo yaani ilikua ni vuta nikuvute kila upande ukionesha vipaji vyao kadri Mungu alivyo wajalia ili mradi tu wajinyakulie ushindi,hakika bonanza limefana sana kila upande ukijinasibu kuibuka washindi.

Hadi mwandishi anatoka eneo la tukio matokeo yalikua kama ifuatavyo ,Bank ya NMB waliibuka na alama 25 kwa ushindi wa jumla na kondoa DC iliibuka na alama  26 .Kaimu mkurugenzi ambae alikua kamisaa wa bonanza hilo aliitangaza halmashauri ya kondoa kua ndo washindi wa jumla nakukabidhiwa ngao ya ushindi kuashiria kua wao ndo washindi wa bonanza hilo pande zote mbili walipongezana kwa pamoja wakitakiana ushirikano wa thati katika kulijenga taifa.

Meneja wa NMB ndugu Mwita aliwashukuru washindi na washiriki wote kwa kupambana kwa nguvu zote bila kujali nyazifa zao wala umri wao na kuahidi kua watajipanga kwa mara nyingine ilikutwaa kikombe hicho pia kuwaomba washiriki wa pande zote mbili kudumisha ushirikano baina yao kwani wote ni ndugu tunajenga nyumba moja.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.