• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

SERIKALI YATOA OFA YA CHANJO YA MIFUGO KONDOA DC

Posted on: January 11th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa imepokea Chanjo ya Mifugo kutoka Serikali kuu kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi Ndg.Juvenal Munishi kwa Niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Hurui kata ya Kikore katika mkutano wa hadhara akiwatangazia wafugaji wa kijiji hicho habari njema juu ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mhe.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kutoa Chanjo ya Mdondo(Kideri)kwa  Kuku Bure bila ya malipo yoyote,Chanjo ya Homa ya Mapafu kwa N'gombe ambayo mfugaji atachangia Tsh 500 badala ya Tsh 1200,Chanjo ya Sotoka kwa Mbuzi na Kondoo Mfugaji atalipia Tsh 300 badala ya 800.

Kupungua kwa gharama hizi za chanjo kwa mifugo jamii ya Ng'ombe,Mbuzi na Kondoo ni programu  ya miaka 5 kwa kuchanja mifugo ikimlipia mfugaji gharama zinazobaki za uchanjaji mifugo hiyo.Serikali inatamani kuona wakulima na wafugaji wanapata fedha kupitia shughuli wanazozifanya na ndio maana inajitahidi kutafuta masoko kwenye mataifa makubwa kama uarabuni ambayo imekubali kununua mbuzi wasio na maradhi ikihakikisha inapeleka mifugo iliyo katika ubora unaoendana na viwango vya kimataifa"amesema Ndg.Munishi.

Kwa upande mwingine Ndg.Munishi amegusia suala la mradi wa kilimo cha umwagiliaji ambao Serikali imelichukua kwa kujumuishwa katika Bajeti ya mwaka 2024/2025 mchakato wa awali kufanyika kwa upembuzi yakinifu.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 12, 2025
  • RC SENYAMULE AFANYA ZIARA KONDOA DC

    May 13, 2025
  • ELIMU YA UZUIAJI UPOTEVU WA NAFAKA KUWA SULUHISHO LA USALAMA WA CHAKULA KONDOA DC

    May 11, 2025
  • WANANCHI KIJIJI CHA ITUNDWI WAADHIMISHA KWA VITENDO SIKU YA AFYA NA LISHE

    May 07, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.