• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

SERA YA TAIFA YA JINSIA NA MAENDELEO YA WANAWAKE YA MWAKA 2023 YAZINDULIWA .

Posted on: March 8th, 2024

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Sera ya Jinsia na Maendeleo ya Wanawake ni ya muhimu katika kukuza usawa wa kijinsia hasa kutokana na kuweka kipambele kwa ushiriki wa wanaume katika jitihada za kujenga usawa wa kijinsia.

Hayo yamesemwa kwa niaba yake na Waziiri wa Maendeleo ya Jamii ,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum Mhe.Dkt.Dorothy Gwajima katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya  Wanawake Machi 08,2024 yaliyofanyika Wilayani Chamwino Dodoma.

Amebainisha kwamba anaamini sera hiyo itavusha Tanzania katika kipindi kingine kirefu katika utekelezaji wake ili kuendana na Dira ya Taifa ya Maendeleo na Malengo ya Dunia kuhusu usawa wa kijinsia.

‘’Natambua kuwa kazi ya mapitio ya Sera haikuwa rahisi kwani ilihitaji ushiriki wa wadau na rasilimali fedha ,hivyo nawashukuru wadau wote walioshirikiana na Serikali kukamilisha mapitio hayo ikiwemo wananchi waliotoa maoni ,wadau wa maendeleo wa ndani na nje ya nchi ,Asasi za kiraia ,Taasisi Binafsi na Wataalam kutoka Wizara zote na Taasisi za Serikali.vilevile natoa rai kwa wadau kuhakikisha wanatoa ushirikiano katika utekelezaji wa sera hiii’’ Alisema Waziri Dkt.Gwajima.

Ametumia nafasi hiyo pia kuanisha baadhi ya jitihada zinazofanywa na Serikali katika kuwainua wanawake nchini katika Nyanja mbalimbali hasa Elimu ,Maji,Nishati ,Nafasi za Uongozi na Afya ambapo inaonyesha hatua kubwa iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Samia Suluhu Hassan kwa kuongeza idadi ya wanawake wanufaika.

Waziri Dkt.Gwajima amewasisitiza wanawake kujiunga vikundi vya maendeleo ili kutumia fursa za kiuchumi zinazotolewa na Serikali pamoja na Wadau kuwahimiza kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu.

Aidha ,ametoa wito kwa wadauu wote kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa sera hiyo ili iwanufaishe wananchi wote na kuwaasa wananchi kuungana kupinga vitendo vya ukatili nchini.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.