• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

RC SENYAMULE AFANYA ZIARA KONDOA DC

Posted on: May 13th, 2025

              Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mapema Mei 13,katika vijiji vya  Kalamba na  Busi kwa kukagua miradi na kuskiliza kero za wananchi.

Akiwa kata ya Kalamba Mhe. Senyamule amekagua ujenzi wa nyumba za walimu wa shule ya msingi Foe wenye thamani ya Tsh Mil201 ulifadhiliwa na TEA (Tanzania Education Authority) na kuagiza ujenzi huo ukamilike kwa wakati ili walimu waweze kuhamia na kuwahimiza wananchiwa kata hiyo kushikamana katika sekta ya elimu kwani malengo ya mkoa ni kuongeza ufaulu kwa asilimia 100%.

"Nashukuru kwa mapokezi yenu mazuri ambayo kiukweli sikuyatarajia kweli Kondoa hamna jambo dogo, nimefurahi nimefika na kukutana na mambo mazuri , shule ina jumla ya walimu saba (7) na ina jumla ya nyumba za walimu nane (8) hizi juhudi za serikali ya awamu ya sita ikiongozwa na Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo inaangalia zaidi kesho kuliko leo, kwahiyo tumshukuru sana Rais wetu" alisema Mhe. Senyamule.

Kwa upande wake Diwani mwenyeji Mhe.  Salumu Mabote ambaye pia ni makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ,ameishukuru serikali kwa kuendelea kuwakumbuka walimu akiboresha mazingira yao ya kazi akiahidi ushirikiano wa wananchi na uongozi wa shule hiyo katika kuongeza ufaulu wa wanafunzi katika kata hiyo.

Akiwa kata ya Busi Mhe. Senyamule ameskiliza na kutatua kero za wananchi zinazogusa sekta ya Umeme, afya ,ardhi,  maji, barabara maliasili na utalii na kwa kuzipatia majibu papo kwa papo kwa kushirikiana na wataalamu kutoka Halmashauri na taasisi za umma zilizopo Halmashauri.

Sambamba na utatuzi wa kero Mhe. Senyamule amewahimiza wananchi wa kata hyo kujiandikisha na kuboresha taarifa zao pamoja na kuwataka vijana wenye sifa kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, wananchi hao kuchangamkia fursa ya kilimo cha zao la apple ambacho kinahimili hali ya hewa ya  Dodoma.

Katika ziara hiyo Mhe. Senyamule aliambatana na timu ya wataalamu kutoka ofisi ya mkuu wa Wilaya, ofisi ya Mkurugenzi, na taasisi za umma ikiwemo TARURA, RUWASA, MKUNGUNERO na TANESCO.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 12, 2025
  • RC SENYAMULE AFANYA ZIARA KONDOA DC

    May 13, 2025
  • ELIMU YA UZUIAJI UPOTEVU WA NAFAKA KUWA SULUHISHO LA USALAMA WA CHAKULA KONDOA DC

    May 11, 2025
  • WANANCHI KIJIJI CHA ITUNDWI WAADHIMISHA KWA VITENDO SIKU YA AFYA NA LISHE

    May 07, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.