• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Ng'ombe zaidi ya1200 Washikiliwa Mkungunero

Posted on: April 14th, 2018

Naibu waziri wa maliasili na utalii Mhe, Japhet  Asunga  hayupo pichani amezuru kondoa kwa ziara maalum ya kikazi leo tarehe 14/04/2018,Katika ziara hii ametembelea pori la akiba mkungunero ambalo ni miongoni mwa mapori  tengefu 26 yaliopandishwa hadhi na kua hifadhi mwaka 1996.Pamoja na kufika katika hifadhi hii pia amekutana na wafugaji ambao mifugo yao inashikiliwa na askari  wa wanyama pori kwa kosa la kulisha mifugo yao ndani ya hifadhi.Miongoni mwa wafugaji walalamikaji ni pamoja na Yohana Bilo ambae takribani  ng'ombe wake 299 kati ya 1298  wanaoshikiliwa ndani ya hifadhi kwa kosa la kulisha mifugo ndani ya hifadhi kinyume cha sheria.

   Baada ya kuulizwa na waziri endapo anajua kua nikosa kulisha mifugo nakuishi ndani ya hifadhi alikiri  kua ni kosa pia anatambua uwepo wa hifadhi hiyo na kwamba siyo mgeni wa eneo hilo maana yeye ni mkazi  wa kijiji cha  Ikengwa jirani na hifadhi baada ya kupewa maelezo ya kina toka askari wa wanyama pori na pia kwa wananchi wa vijiji vinavyopakana na hifadhi , mhe, waziri alisisitika kua elimu zaidi inapaswa kutolewa kwa wananchi wanaopakana na hifadhi ili kuepuka migogoro ya wafugaji na askari wa wanyama pori pia akasema kua wananchi hawa ndo wanapaswa kua walinzi na watoa taarifa juu ya majangiri ambao wanahujum hifadhi hii maana wao ndo watakao faidika na uwepo wa hifadhi hii kwa asilimia kubwa.Baada ya kusema hayo aliagiza mtuhumiwa huyu kufika ofisi za mhifadhi wanyama pori mjini kondoa siku ya jumanne ya tarehe 17 aprili 2018, na kuagiza taratibu za kisheria zifate mkondo wake ikiwa ni pamoja na kufikishwa mahakamani  huyu alievunja sheria pia hata wale ambao hawajafika kutambua  mifugo yao bila kufanya hivyo mifugo yao itapigwa mnada na serikali baadaya siku thelathini (30).

  Utaratibu unaopaswa kufuatwa mara inapobainika kupotea kwa mifugo imeelezwa kua mwananchi anapaswa kutoa taarifa kwa mwenyekiti wa kitongoji chake pili kwa mtendaji wa kijiji ili mtendaji afanye utaratibu wa kuwasiliana na meneja wa hifadhi ili apewe kibari cha kuingia hifadhini kutambua mifugo yake na kuepuka kuingia hifadhini bila kibali.Ikumbukwe kua upewapo kibali kutambua mifugo yako siyo kigezo cha kuchukua mifugo la hasha utambuzi utafanyika kisha sheria itafuata mkondo wake kama sheria za hifadhi zinavyosema alisema Naibu waziri

. Katika picha ni miongoni mwa ng'ombe 1298 wanaoshikiliwa ndani ya hifadhi ya mkungunero, kwa wale wote waliopotelewa mifugo yao wanaagizwa kuwasiliana na meneja wa hifadhi kwa ajili ya utambuzi wa mifugo yao ili kuepuka mifugo yao kupigwa mnada.       Katika picha ni Mhe, naibu waziri Japhet Asunga akimsikiliza mmoja wa walalamikaji . Picha na mwandishi wetu.

   

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.