• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MWENYEKITI WA KAMATI YA UONGOZI TAIFA-TASAF AFANYA ZIARA HALMASHAURI YA WILAYA YA KONDOA.

Posted on: March 20th, 2025

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi Taifa TASAF,Ndg.Peter Ilomo amefanya ziara ya kutembelea Mradi wa Vyumba vya Madarasa na Matundu ya Vyoo katika Kijiji cha Mnenia.

Ndg.Ilomo ameshukuru na kupongeza ubora wa mradi baada ya kujionea hali ya mradi ulivyokwenda vizuri akiwahamasisha wananchi wa kijiji cha Mnenia kuwa na ushirikiano kwa kila miradi wanayoiendesha na kuhimiza wananchi hao kuelimishwa juu ya umuhimu wa vikundi walivyonavyo kwani wanaweza kufanikiwa kupitia vikundi hivyo.

Awali akiwasilisha taarifa yake kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri,Mratibu wa TASAF Halmashauri Ndg.Donald Jidayi amesema

"Katika kipindi cha Utawala wa Serikali ya Awamu ya Sita chini Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan;mwaka wa fedha 2023/2024 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ilipokea fedha kutoka Serikali kuu kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)kiasi cha Tzs 113,313,129.00 zilitolewa kwa ajili ya Ujenzi wa Miundombinu ya Shule Mpya ya Sekondari Mnenia kata ya Mnenia ."

Kwa upande wake Bw.Omary Mohamed ambaye ni mnufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii,ameipongeza Serikali kwa kujenga shule hiyo na kuiomba kuwajengea nyumba za walimu na kuongeza barabara za mitaa.

Kwa upande wao wanafunzi wa shule hiyo Mpya ya Sekondari Mnenia wameishukuru Serikali kwa juhudi inayoendelea kutoa hasa katika sekta ya Elimu na kumpongeza Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi huo wa Madarasa wakimuahidi kufanya vizuri katika mitihani yao.

Mradi huu wa Ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari Mnenia uliibuliwa na jamii kupitia mkutano shirikishi wakati wa kuandaa mpango wa maendeleo katika kata ya Mnenia na kupewa nguvu na mchango wa TASAF kiasi cha Tzs 113,313,129.00,Mchango wa nguvu za wananchi kiasi cha Tzs 4,800,000.00.

Mradi huu upo tayari kutumika kama ilivyo kusudiwa kwa kuanza na wanafunzi 87 ambapo wasichana ni 40 na wavulana 47 kutoka katika vijiji vya Mnenia, Itundwi, Filimo na Kijiji cha Bambare.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.