• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI KONDOA DC AKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KONDOA

Posted on: December 2nd, 2024

Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg.Shaban Millao mapema Novemba 2,amekutana na Viongozi wa Vyama vya Siasa Wilaya ya Kondoa Ofisini kwake Bukulu yalipo Makao Makuu ya Halmashauri.

Viongozi wa vyama hivyo ni Bw.Issa Msafiri Katibu CUF,Bw.Habibu Chobu Mwenyekiti ACT- Wazalendo,Bw.Saidi Ibote Mwenyekiti CUF pamoja na Bw.Kimolo Darabu ambaye ni Katibu Mwenezi CCM.

Ndg.Millao amewashukuru viongozi hao kwa ushirikiano walionesha kipindi chote cha zoezi zima la uchaguzi.

"Niwashukuru kwa Ushirikiano wenu katika kipindi chote, penye changamoto tumezitatua pamoja na niwaombe mpeleke shukrani hizi kwa wanachama wenu "alisisitiza Ndg.Millao.

Kwa upande wao viongozi hao walianza kumpongeza Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri pamoja na wasaidizi wake ngazi ya kata na vijiji, kusimamia vyema uchaguzi pamoja na kulipongeza Jeshi la Polisi Wilaya kwa kuimarisha ulinzi na usalama kwa kipindi chote cha zoezi zima.

Sambamba na shukrani hizo Ndg.Millao, amewaeleza lengo kuu la kikao hicho ni Marejeo ya Uchaguzi katika kitongoji cha Dabiri A kijiji cha Keikei Tangini kata ya Keikei utakaofanyika tarehe 11Desemba,akizungumzia zoezi la uteuzi kwa wagombea kufanyika tarehe 3 baada ya kukamilika kwa zoezi la Uchukuaji na Urudishaji fomu leo, kuanza kwa kampeni tarehe 4 hadi 10/12/2024 na wananchi wa kitongoji hicho kupiga kura siku ya terehe 11/12/2024.

Pamoja na kujadili kurudiwa kwa uchaguzi huo,Ndg.Millao amewatangazia kufanyika kwa zoezi lingine la Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga kura wa Uchaguzi Mkuu 2025 litakaloanza tarehe 11 hadi 17 mwezi Desemba ,2024 aliwataka kuwatangazia wanachama wao kujiandikisha kwa wingi katika Daftari hilo.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.