• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKURUGENZI WA AFYA, USTAWI WA JAMII NA LISHE OR TAMISEMI AMPONGEZA DED MILLAO

Posted on: March 3rd, 2025

Mkurugenzi wa Afya na Ustawi wa Jamii OR-TAMISEMI Dkt.Rashid Mfaume amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg.Shaban Millao kwa moyo wa kumsaidia mtoto Abilayi Iddi kupata matibabu.

Dkt.Mfaume Ameyasema hayo alipokua katika ziara ya kutembelea miradi ya afya halmashauri na kumpongeza Mkurugenzi Millao.

"Nikupongeze Mkurugenzi kwa jambo ulilolifanya kwa mtoto Abilayi,ni kitu ambacho sijawahi kuona maeneo mengine tuna watoto wengi mitaani wenye uhitaji lakini kwa huyu mmoja umefanya kitu kikubwa sana hili linawezekana na  wengine tuige mfano wako katika kuwasaidia watoto wenye mahitaji maalum. "

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg.Shaban Millao amesema taarifa za hali ya mtoto huyo zilimfikia kupitia barua aliyoiandika mwalimu wake ya kuhitajika kwa msaada kwa mtoto huyo na kumlazimu kuacha shughuli zingine za kiofisi na kufika mara moja Shuleni Bereko kilipo kituo anachoishi mwanafunzi huyo.

Sambamba na hilo Dkt Mfaume alipata wasaa wa kumtembelea mtoto huyo kata ya Bereko akiambatana na Mkurugenzi Millao pamoja na ujumbe wake akimtia moyo mtoto huyo.

Mtoto Abilayi Iddi hadi kufikia sasa amefanikiwa kupata vipimo vya awali dhidi ya uvimbe unaomsumbua kwenye vidole vyake katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Jijini Dodoma na taratibu zingine za kimatibabu zinaendelea kufanyiwa kazi baada ya kugundulika kinachomsumbua. Mtoto Abilay anatarajiwa kufanyiwa upasuaji huo siku ya jumanne mara baada ya maandalizi ya awali kukamilika.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.