• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKURUGENZI MILLAO ASISITIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KONDOA DC

Posted on: January 20th, 2026

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya kondoa Ndg. Shaban Millao ametoa wito kwa wananchi wa wilaya ya kondoa kuzingatia kanuni bora za utunzaji wa mazingira katika maeneo yao.

Mkurugenzi Millao ameyasema hayo katika hafla iliyoandaliwa na Shirika la kimataifa la Prosper for Greening Community Base na kufanyika  katika kijiji cha kwamafunchi, kata ya Changaa Wilayani Kondoa

Akifafanua Zaidi Mkurugenzi Millao amesema kuwa ofisi yake inatambua mchango mkubwa unaotolewa na Shirika hilo katika kutunza mazingira na kupambana na athari za mabadiliko ya  tabia ya nchi.

" natoa rai kwa wananchi wa hapa, elimu ya vitendo mnayoipata kutoka kwa shirika hili mkaitumie na mdumishe ubora wa mazingira yetu"

" nimeskia kuwa shirika hili pia huratibu ziara na kuwapeleka mikoani baadhi ya wananchi kwenda kujifunza zaidi masuala ya upandaji miti na utunzaji wa mazingira, hakikisheni mnakuwa mabalozi wazuri siku zote katika jambo msilifanye tu ili mradi mpate zawadi zawadi" aliongeza Mkurugenzi Millao

Sanjari na hayo, Mkurugenzi Millao amelipongeza shirika hilo na kuahidi ushirikiano wa dhati kutoka Halmashauri ya wilaya hiyo huku akisisitiza ubunifu na utekelezaji wa sera za nishati safi ya kupikia kama sehemu ya uboreshaji wa mazingira.

Wakati huo huo, Mkurugenzi Millao amesisitiza  wazazi kusimamia suala la elimu kwa watoto wao.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Shirika hilo Ndg.Toribio, amemshukuru mkurugenzi kwa kuitikia wito wa kuhudhuria hafla hiyo na kumuahidi kutekeleza zaidi sera za utunzaji wa mazingira kwa kushirikiana na wananchi wa kijiji cha kwamafunchi.

Matangazo

  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGARI October 16, 2025
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE KONDOA DC YAFANYA ZIARA YA KIUTENDAJI

    January 22, 2026
  • MKURUGENZI MILLAO ASISITIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KONDOA DC

    January 20, 2026
  • DC NYANGASA AHIMIZA UJENZI WA TIMU YENYE TIJA BARAZA JIPYA LA MADIWANI KONDOA DC

    December 05, 2025
  • KAMATI YA UFUATILIAJI WA MIRADI KDC YAWEKA MKAZO UKAMILISHWAJI MIRADI

    December 04, 2025
  • Fungua zaidi

Video

Umeme kufika Kituo cha Afya Mauno-Kondoa:-Mkuu wa Mkoa Dodoma
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.