• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mbio za mwenge wa Uhuru 03/08/2018 zafana Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

Posted on: August 5th, 2018



Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2018 Ndg. Charles Francis Kabeho ameongoza mamia ya wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa katika sherehe za Mwenge wa Uhuru Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa huku miradi minne ikizinduliwa na mmoja ukiwekewa jiwe la msingi.

Miradi hiyo ni pamoja na mradi wa maji kwa Afya ya Jamii Baura wenye uwezo wa kuhudumia wakazi 750 na maji yana uwezo wa kusambazwa

 umbali usiozidi mita 200,mradi wa mabweni ya Wasichana Shule ya Sekondari Masawi yenye uwezo wa kulaza wanafunzi 128,mradi wa barabara ya Bereko-Munguri yenye umbali wa kilomita 15.6,mradi wa nyumba ya Walimu(Six in One) shule ya Sekondari Sakami yenye uwezo wa kuhudumia walimu sita.

Kiongozi huyo wa Mwenge amepongeza uongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Kondoa kwa kusimamia vizuri miradi inayotekelezwa huku akikiri kuwani ya kiwango cha juu hivyo kuutendea haki Mwenge wa Uhuru.

Amepongeza pia jitihada za Halmashauri katika kuinua na kuboresha Elimu katika miundombinu na Taaluma,amesema jitihada hizo zinaendana na kauli mbiu ya Mbio za mwenge kwa mwaka 2018 inayosema "ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA WEKEZA SASA KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU".


Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2018,ndg. Charles Francis kabeho akizindua  Barabara ya Bereko - Munguri yenye urefu wa kilomita 15.6


Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2018,ndg. Charles Francis kabeho akizindua Nyumba ya Walimu(Six in One) katika shule ya sekondari Sakami.



Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2018,ndg. Charles Francis kabeho katika picha ya pamoja na Mkuu wa wilaya ya Kondoa Mhe. Sezaria Veneranda Makota(Wapili kushoto),Makamu mwenyekiti wa halmashauri Mhe. Hija Suru(Wa kwanza kushoto),Mkurugenzi wa Halmashuri ya Wilaya ya Kondoa Mwl.Falesy Mohamed Kibassa(wa tatu kushoto),Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Kondoa Ndg.Othman Gora(wa kwanza kulia) na Mratibu Elimu Kata  kata ya Hondomairo Bw. Patrick Hando(aliyekaa)


Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2018,ndg. Charles Francis kabeho akihutubia wananchi katika eneo lilioandaliwa kwa ajili ya mkesha wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2018 kata ya Hondomairo.


Baadhi wa wananchi waliohudhuria katika kilele cha Maadhimisho ya Mbio za Mwenge  katika Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kata ya Hondomairo wakimsikiliza Kiongozi wa wa  Mbio za Mwenge Akiongea.


Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.