• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WILAYANI KONDOA YAWASILISHA TAARIFA YA UTENDAJI KAZI KWA MWAKA WA FEDHA WA 2024/2025

Posted on: June 17th, 2025

Mashirika yasiyo ya Kiserikali nchini kwa Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma yamewasilisha taarifa za utendaji kazi uliofanywa na mashirika hayo kwa kipindi cha mwaka 2024/2025.

Hayo yamejiri mapema Juni 13, 2025 katika Ukumbi wa Mikutano Kondoa Irangi uliopo Kondoa Mjini ukiwakutanisha Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoka Halmashauri za Wilaya na Mji Kondoa pamoja na Mashirika hayo wakiwasilisha shughuli mbalimbali zilizotekelezwa kwa kipindi cha mwaka 2024/2025 katika halmashauri hizo.

Akifungua kikao cha pamoja na mashirika hayo, Ndg.Wenceslaus Mbilango ambaye ni Mkuu wa Divisheni ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Mji Kondoa amesema lengo la kukutana na mashirika hayo ni kujadili shughuli walizotekeleza katika kipindi cha mwaka wa fedha 2024/2025 katika Wilaya ya Kondoa itakayorahisisha  kubainisha mafanikio na changamoto walizozitatua kwa pamoja.

Sambamba na uwasilishwaji wa taarifa za mashirika hayo wito umetolewa dhidi ya ushirikishwaji wa wataalam kutoka Halmashauri hizo wakati wa utekelezaji wa shughuli zao ndani ya kata nufaika, kwa kuzingatiaji kanuni, taratibu na sheria za  nchi katika uendeshaji wa mashirika hayo pamoja na ushiriki wao katika vikao rasmi vinavyowakutanisha pamoja kila robo ya mwaka wa fedha.

Miongoni mwa Mashirika yaliyojitokeza katika kikao hicho ni pamoja na INADES FORMATION, RIKOLTO, TAHEA, CONVOY OF HOPE TZ, JUST , MTETEZI WA MAMA NA MTOTO na KASVA FOUNDATION ambayo yamefanikiwa kutekeleza shughuli mbalimbali zinazogusa jamii ikigusa sekta mbali mbali kama vile Elimu, Afya, Maji, Lishe, Kilimo, Mazingira, Ujasiriamali, Msaada wa Kisheria, Maendeleo ya Wanawake, Mabinti na Vichinjio.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • ELIMU YA BAJETI YA MLENGO WA KIJINSIA KUINUFAISHA KONDOA

    June 26, 2025
  • STAKABADHI GHALANI MUAROBAINI ENDELEVU KWA WAKULIMA WILAYA YA KONDOA

    June 25, 2025
  • WALIMU NA MAAFISA ELIMU KATA KONDOA DC WAJENGEWA UWEZO WA USIMAMIZI UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI

    June 21, 2025
  • WARAGHIBISHI MASUALA YA KIJINSIA WILAYA YA KONDOA WAJENGEWA UWEZO

    June 21, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.