• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAFUNZO YA UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO (PROPERTY TAX) YAFANYIKA KONDOA DC

Posted on: June 13th, 2025

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg.Immanuel Mvungi, amefungua rasmi Mafunzo ya ukusanyaji wa Kodi ya Majengo ambapo Kodi sasa itakusanywa na Mamlaka za Serikali za Mitaa badala ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Lengo kubwa la Mafunzo haya ni kuwawezesha wamiliki wote wa nyumba ndani ya halmashauri kuchangia maendeleo ya nchi yao kupitia ulipaji kodi ya majengo ambayo inakadiriwa kufikia Tshs.800,000,000/= kwa Mwaka.

Akifungua mafunzo hayo Ndg.Mvungi amesema "Maafisa Watendaji wa Kata na Vijiji, zingatieni mafunzo haya kwani ninyi ni viungo muhimu na ndio watekelezaji wakubwa katika kukusanya Mapato ya Serikali katika chanzo hiki".

Kodi hii itakuwa inakusanywa Kidigitali,  ambapo Maafisa Watendaji wa Kata na Vijiji ambapo kwa hatua za awali, takwimu sahihi za majengo yanayopaswa kulipiwa kodi hii yataainishwa kidigitali kupitia Mfumo Rafiki wa Kidigitali wa"Open Data Kit" (ODK) na hatimaye wamiliki kupatiwa Ankara ambazo zitatolewa katika mfumo wa kukusanya Mapato ya Serikali (TAUSI) na kufikishwa kwa mlipa kodi na Afisa Mtendaji wa Kijiji na hatimaye Mlipa kodi atalipia kodi yake kwa mujibu wa Sheria, kidigitali.

Kodi hulipwa kwa mujibu wa Sheria na wamiliki wa nyumba za makazi na Biashara kote nchini kwa kiasi cha Tshs.18,000 kwa nyumba ya Kawaida  na Tshs.90,000/= kwa kila sakafu kwa majengo ya ghorofa.

Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa inakadiriwa kuwa na nyumba zipatazo 53,206 ambapo ni nyumba 15,842 pekee ndizo zenye umeme wa Gridi ya Taifa na hulipa kodi hii ya Majengo kupitia Mfumo wa Lipia Umeme kadiri Unavyotumia (LUKU).

Matangazo

  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WANOLEWA MFUMO WA E-UTENDAJI

    July 12, 2025
  • KONDOA DC YAJIPAMBANUA UFAULU MATOKEO YA MOCK MKOA 2025

    July 12, 2025
  • WATAALAM WA ELIMU KONDOA DC WAPIGWA MSASA KWA VITENDO ELIMU YA UOTESHAJI MICHE YA MITI

    July 12, 2025
  • ZAIDI YA WATU 14,000 KUNUFAIKA NA MRADI MKUBWA WA MAJI KWADELO

    July 01, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.