• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KONDOA DC YATOA ZAIDI YA MILIONI 758 ZA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU

Posted on: October 24th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa imetoa jumla ya Tzs 657,029,012 kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2020/2025 na Tzs 101,825,125 kwa kipindi cha robo ya kwanza mwaka wa fedha 2025/2026 kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu.

Hayo yamebainishwa katika Hafla ya utoaji mikopo ya 10% kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu mapema Oktoba 24,2025 mgeni rasmi akiwa ni Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe.Fatma Nyangasa.

Mhe.Nyangasa ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kwa kuendelea kutekeleza agizo la Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan la utoaji wa mikopo ya 10% ya mapato ya ndani kwa vikundi ikilenga kuwakwamua wananchi kiuchumi,kupunguza umasikini na kuchochea maendeleo ikiwanufaisha zaidi wanufaika.

"Ndugu wanufaika niwapongeze kwa kuchangamkia fursa hii,fedha mlizopata mkatumie kwa matumizi kusudiwa na tukiwahamasisha wenzetu kujitokeza kwa wingi kuomba mkopo huu na turejeshe kwa wakati"alisema Mhe.Nyangasa.

Pia katika hafla hiyo Mhe.Nyangasa ametumia fursa hiyo kuwahimiza wanufaika hao kuwahimiza wananchi wenza kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika vituo elekezi vya kupigia kura kwa wananchi wote waliotimiza sifa za kupiga kura siku ya Tarehe 29/10/2025.

Awali Akiwasilisha taarifa yake kwa mgeni rasmi, Mkuu wa Divisheni ya Maendeleo ya Jamii Bi.Raiya Naser amesema kwa kipindi cha miaka mitano Halmashauri imetoa kiasi cha Tzs 657,029,012 ikiwa Sh 319,574,000 kwa wanawake, Sh.230,000,000 kwa vijana na Sh.107,023,500 kwa watu wenye ulemavu (wanawake 553, vijana193 na watu wenye ulemavu 176).

Pia katika kipindi cha mwaka wa fedha 2025/2026 kwa robo ya kwanza Halmashauri imetenga kiasi cha Tzs 101,827,125 kwa ajili ya kukopesha vikundi kwa mgawanyo wa Tzs 40,730,

850 Wanawake, Tzs 40,730,850 vijana na Tzs 20,365,425 kwa watu wenye ulemavu.

Matangazo

  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGARI October 16, 2025
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • DC NYANGASA AKABIDHI VYOMBO VYA USAFIRI KWA WATENDAJI KATA

    October 24, 2025
  • KONDOA DC YATOA ZAIDI YA MILIONI 758 ZA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU

    October 24, 2025
  • MKUU WA MKOA WA DODOMA AKAGUA MIRADI KONDOA DC

    October 23, 2025
  • DC NYANGASA ATAKA KASI KUONGEZEKA MIRADI YA KONDOA DC

    September 17, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.