• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KONDOA DC YAJA NA MKAKATI MZITO KUINUA UFAULU SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI

Posted on: December 3rd, 2024

Hayo yamejiri katika kikao cha tathmini ya utekelezaji wa mikakati ya kuinua taaluma na kiwango cha ufaulu shule za msingi na sekondari kwa mwaka 2024 katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri uliopo Kijiji cha Bukulu.

Wajumbe wa kikao hicho wameazimia:Walimu wanaojitolea kuendelea kuajiriwa wakilipwa posho na wazazi/jamii ili kuleta ufanisi katika utendaji wao, katika kutokomeza utoro mashuleni, viongozi ngazi ya vijiji, kata na halmashauri kutumia sheria ndogo zitakazokua zimerekebishwa kwa ajili ya kudhibiti utoro mashuleni, sheria ndogo zirekebishwe ili wazazi na walezi wachangie chakula cha kutosha mashuleni katika mihula yote 2 kwa mwaka, uimarishwaji wa mahusiano baina ya viongozi wa ngazi zote, umahiri kwa walimu wa somo la hisabati mafunzo yafanyike, uwajibikaji kwa viongozi wote katika elimu, uwepo wa Mabweni (hosteli) kwa shule za sekondari  ili kutatua changamoto ya umbali jamii ikianzisha maboma n.k

Sambamba na maazimio hayo kikao hicho kimepokea tathmini ya utekelezaji wa mipango mikakati ya kuinua taaluma na kiwango ufaulu katika shule za Msingi na Sekondari 2024 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali na Jamii kwa ujumla ili kuboresha taaluma na kuinua kiwango cha ufaulu katika mitihani ya kitaifa ikitekelezwa na kauli mbiu isemayo "Uwajibikaji wangu ni Msingi wa kuinua Ubora wa Elimu na Ufaulu Dodoma".

Miongoni mwa mikakati iliyotekelezwa kwa mwaka wa masomo 2024: Uandikishaji wa Wanafunzi wa Awali, Darasa la kwanza na kidato cha kwanza mwaka 2024 kufikia 100%, Uwepo wa huduma ya chakula shule za msingi na sekondari, kuongeza kiwango cha ufaulu kwa mitihani na upimaji wa kitaifa kwa shule za msingi na sekondari, Utoaji motisha kwa wanafunzi, walimu na shule za msingi na sekondari zinazofanya vizuri, ushirikishaji wadau mbalimbali katika kuboresha miundombinu shule za Msingi na Sekondari n.k.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.