• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KONDOA DC WAANGAMIZA MAMILIONI YA KWELEAKWELEA KULINDA USALAMA WA CHAKULA

Posted on: March 22nd, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo imeendesha zoezi la kuangamiza makundi ya Ndege waharibifu wa Mazao ya Nafaka maarufu kama Kweleakwelea kwa kutumia Ndege Namba 5Y-BCJ inayomilikiwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Akitoa tathmini fupi ya awali ya zoezi hili,Afisa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Halmashauri Ndg.Juvenal Anthony Munishi amesema "Tumepata Ndege ya kunyunyizia sumu kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki na kazi imeanza rasmi tarehe 19/03/2024 hadi tarehe 24/03/2024".

Mazao yanayoshambuliwa ni ya nafaka hasa Mtama,Uwele na Mpunga; Mtama umelimwa kwenye eneo lenye Ukubwa wa Hekta 9,618 na matarajio ni kuvuna  Tani 13,465 ,Uwele umelimwa Hekta 12,344 matarajio ya mavuno yakiwa ni Tani 14,813 na Mpunga Hekta 176 na matarajio ya mavuno yakiwa ni Tani 440.

Ndege hawa waharibifu huruka katika makundi ya Ndege kati ya 50,000 hadi 300,000 na kulala sehemu tofauti tofauti ,kutokana na uchunguzi uliofanyika umebainisha yapo malalo 7 ya Ndege yenye idadi inayokadiriwa kuwa Mil 17.7 ,malalo 5 yakiwa ndani ya Hifadhi ya Pori la Akiba Mkungunero na malalo 2 yakiwa nje ya hifadhi (kiwanja cha Mbuni na Mbuga ya Atta).

"Kwa wastani ndege mmoja hula nafaka gramu 6 na kuharibu gramu nyingine 2 na kuharibu gramu 8 za nafaka kwa siku na kwa Idadi ya ndege waliokadiriwa kuwepo wanaweza kula na kuharibu tani 141.6 za nafaka kwa siku "alibainisha Ndg.Munishi.

Kiasi cha lita 600 za sumu aina ya Queleatox na kiasi cha lita 3,000 za mafuta ya ndege zitatumika ambapo mahitaji yote ya zoezi hili yamegharamiwa na Serikali na hakuna Mkulima atakayetozwa kiasi chochote cha fedha.

Uongozi wa Halmashauri unamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dtk Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha upatikanaji wa Ndege ya kuangamiza ndege waharibifu kondoa pamoja na jitihada za viongozi wa ngazi zote kwa kutoa msukumo na mchango mkubwa hadi zoezi kukamilika.

shauri ya Wilaya ya Kondoa kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo imeendesha zoezi la kuangamiza makundi ya Ndege waharibifu wa Mazao ya Nafaka maarufu kama Kweleakwelea kwa kutumia Ndege Namba 5Y-BCJ inayomilikiwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Akitoa tathmini fupi ya awali ya zoezi hili,Afisa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Halmashauri Ndg.Juvenal Anthony Munishi amesema "Tumepata Ndege ya kunyunyizia sumu kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki na kazi imeanza rasmi tarehe 19/03/2024 hadi tarehe 24/03/2024".

Mazao yanayoshambuliwa ni ya nafaka hasa Mtama,Uwele na Mpunga; Mtama umelimwa kwenye eneo lenye Ukubwa wa Hekta 9,618 na matarajio ni kuvuna  Tani 13,465 ,Uwele umelimwa Hekta 12,344 matarajio ya mavuno yakiwa ni Tani 14,813 na Mpunga Hekta 176 na matarajio ya mavuno yakiwa ni Tani 440.

Ndege hawa waharibifu huruka katika makundi ya Ndege kati ya 50,000 hadi 300,000 na kulala sehemu tofauti tofauti ,kutokana na uchunguzi uliofanyika umebainisha yapo malalo 7 ya Ndege yenye idadi inayokadiriwa kuwa Mil 17.7 ,malalo 5 yakiwa ndani ya Hifadhi ya Pori la Akiba Mkungunero na malalo 2 yakiwa nje ya hifadhi (kiwanja cha Mbuni na Mbuga ya Atta).

"Kwa wastani ndege mmoja hula nafaka gramu 6 na kuharibu gramu nyingine 2 na kuharibu gramu 8 za nafaka kwa siku na kwa Idadi ya ndege waliokadiriwa kuwepo wanaweza kula na kuharibu tani 141.6 za nafaka kwa siku "alibainisha Ndg.Munishi.

Kiasi cha lita 600 za sumu aina ya Queleatox na kiasi cha lita 3,000 za mafuta ya ndege zitatumika ambapo mahitaji yote ya zoezi hili yamegharamiwa na Serikali na hakuna Mkulima atakayetozwa kiasi chochote cha fedha.

Uongozi wa Halmashauri unamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dtk Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha upatikanaji wa Ndege ya kuangamiza ndege waharibifu kondoa pamoja na jitihada za viongozi wa ngazi zote kwa kutoa msukumo na mchango mkubwa hadi zoezi kukamilika.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.