• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KIONGOZI MKIMBIZA MWENGE WA UHURU MWAKA 2024 AKABIDHI ZAWADI KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM

Posted on: July 2nd, 2024


Kiongozi Mkimbiza Mwenge wa Uhuru mwaka 2024 Ndg.Godfrey Mnzava pamoja na ujumbe wa Mwenge amekabidhi zawadi za kufundishia na kujifunzia kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum shule ya Msingi Bereko.

Ndg.Mnzava ametumia nafasi hiyo kuwaasa wanafunzi hao kuweka bidii katika kujifunza ili kutimiza ndoto zao pamoja na kuitaka jamii kuwaibua watoto wenye mahitaji maalum na kuacha tabia ya kuwaficha majumbani mwao.

Awali akiwasilisha taarifa Mwl.Husna Iddi amesema kitengo hicho kilianzishwa mwaka 2016 katika shule ya msingi Bereko yenye namba za usajili EM.1001 ambacho kwa sasa kina jumla ya wanafunzi 45(wavulana 24,wasichana 21)na katika hao 45(wanaoishi bweni ni 24,wanafunzi wa kutwa 21).

Katika kuwasaidia wanafunzi wenye mahitaji maalum halmashauri na jamii wameshirikiana kwa pamoja katika kupambana na tatizo la ukatili kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum kwa kuwajengea uzio 

wa ukuta kuzunguka kitengo kwa lengo la kuwalinda na kuhakikisha usalama wa wanafunzi.

Pia kwa kuona umuhimu,kuwajali na kuthamini kundi hili halmashauri imetoa 10% ya michango iliyochangwa na wananchi kwa ajili ya mwenge wa uhuru mwaka 2024 itumike kwa ajili ya kununua vifaa vya kufundishia na kujifunzia vyenye thamani ya Tsh Mil 2.

Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2024 zinabebwa na ujumbe usemwao "Tunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Ujenzi wa Taifa Endelevu".

Matangazo

  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE KONDOA DC YAFANYA ZIARA KATA YA BUMBUTA

    August 22, 2025
  • KONDOA DC YAADHIMISHA JUMA LA ELIMU YA WATU WAZIMA KWA KISHINDO

    August 21, 2025
  • NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI AKAGUA UTEKELEZAJI WA KAMPENI YA CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO KONDOA DC

    July 22, 2025
  • WATUMISHI KONDOA DC WANOLEWA MFUMO WA E-UTENDAJI

    July 12, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.