• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA USHAURI WILAYA KONDOA YATOA MAONI KUELEKEA MAANDALIZI YA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO YA MWAKA 2025-2050

Posted on: August 3rd, 2024

Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Kondoa ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe.Fatma Almasi Nyangasa imekusanya maoni ya wajumbe wa kikao hicho dhidi ya Maandalizi ya Dira mpya ya Taifa ya Maendeleo ya Mwaka 2025-2050.

Kikao hicho maalum kimewakutanisha wajumbe kutoka Ofisi ya Mkuu wa Wilaya, Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya na Mji Kondoa, Waheshimiwa Madiwani, Wakuu wa Idara na Vitengo toka Halmashauri zote mbili, watumishi wa umma, Viongozi wa Dini,Wafanyabiashara, Makundi maalum,Uwakilishi Vyama vya Wafanyakazi,Vyama vya Siasa pamoja na taasisi za fedha katika ukumbi wa Mikutano Kondoa Irangi uliopo Kondoa Mjini.

 Kamati hiyo imefanya Tathimini ya pamoja dhidi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo ya Mwaka 2000-2025, wakijadili hatua mbalimbali za maendeleo Taifa limepitia na kutoa Pongeza za dhati kwa serikali ya Chama tawala CCM kwa jinsi ilivyosimamia maendeleo ya nchi katika nyanja zote ikiwemo Elimu, Afya, Usafiri na usafirishaji, Viwanda na Biashara, Kilimo na hali ya utulivu na Amani iliyotawala kote nchini. Wajumbe hao walitoa maoni kadhaa ili kuboresha maendeleo ya nchi katika njanja zote ikiwa ni mchango wao wa mapendekezo kuelekea maandalizi ya Dira mpya ya Taifa mwaka 2025-2050.

Akitoa taarifa fupi ya tulikotoka na tunakokwenda, Mwezeshaji wa zoezi hilo Bi.Regina Christopher Harioway, Mtakwimu wa Halmashauri ya Mji Kondoa, alieleza kwamba kama Taifa tumepitia Dira tatu za Maendeleo ya Taifa la Tanzania ambazo ni Dira ya kujipatia Uhuru na baada ya kupata Uhuru mwaka 1961),  Dira ya Azimio la Arusha (mwaka 1967) pamoja na Dira ya Maendeleo ya Taifa inayofikia tamati mwaka 2025 ambayo imedumu tangu mwaka 2000, zote kwa pamoja zikiwa zinalenga kudumisha mila, desturi, silka, maadili ya jamii yanayokwenda na wakati, Maisha Bora na mazuri, amani, utulivu na umoja, utawala na uongozi Bora, jamii iliyoelimika na inayopenda kujifunza zaidi pamoja na uchumi wenye uwezo wenye ushindani na kujiletea ukuaji wa kudumu kwa maslahi ya watu wote.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 12, 2025
  • RC SENYAMULE AFANYA ZIARA KONDOA DC

    May 13, 2025
  • ELIMU YA UZUIAJI UPOTEVU WA NAFAKA KUWA SULUHISHO LA USALAMA WA CHAKULA KONDOA DC

    May 11, 2025
  • WANANCHI KIJIJI CHA ITUNDWI WAADHIMISHA KWA VITENDO SIKU YA AFYA NA LISHE

    May 07, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.