• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA UFUATILIAJI WA MIRADI KDC YAWEKA MKAZO UKAMILISHWAJI MIRADI

Posted on: December 4th, 2025

Kamati ya Ufuatiliaji wa miradi ya Halmashauri ya wilaya ya kondoa imefanya ziara ya ukaguzi na ufuatiliaji wa maendeleo ya  ujenzi wa miradi mbalimbali Wilayani Kondoa.

Akiongoza ujumbe wa kamati hiyo Ndg.Njenjela Ali ambae pia ni Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi Wilaya ya Kondoa, wametembelea miradi ya ujenzi wa vyumba 16 vya  madarasa,maabara , matundu ya vyoo 57, nyumba za waalimu, ukamilishwaji wa Zahanati ya madege, kituo cha waalimu kikore, pamoja na ujenzi wa shule mpya ya Kisese Sauna.

Miradi hiyo 12 inapatikana katika maeneo ya itololo,kisese,bereko,kikore, na mnenia ambapo inaendelea na ujenzi huku mingine ikiwa hatua za mwisho za ukamilishwaji.

Aidha mwenyekiti wa Kamati ya Ufuatiliaji Ndg. Njenjela Ali amewaasa Wasimamizi wa miradi na wakandarasi kufanya kazi kwa bidii kwa kuzingatia maelekezo kutoka kitengo cha Uhandisi cha Wilaya pamoja na wataalamu wake.

" wakandarasi na mafundi mnaojenga miradi hii, hakikisheni mnakula na mpango kazi mlioutengeneza,ukabidhini kwetu kisha muufanyie kazi ipasavyo"

"Fanyeni kazi kwa haraka na kwa ubora ili miradi hii ikamilike ndani ya muda uliowekwa" aliongeza Ndg. Njenjela

Sanjari na hayo Ndg. Njenjela amewahimiza mafundi na kamati za ujenzi wa miradi hiyo kujenga tabia ya kutoa ripoti ya maendeleo ya ujenzi wa miradi kwa Kamati ya Ufuatiliaji ya Wilaya kwa ajili mapitio na utatuzi wa changamoto mbalimbali.


Matangazo

  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGARI October 16, 2025
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • DC NYANGASA AHIMIZA UJENZI WA TIMU YENYE TIJA BARAZA JIPYA LA MADIWANI KONDOA DC

    December 05, 2025
  • KAMATI YA UFUATILIAJI WA MIRADI KDC YAWEKA MKAZO UKAMILISHWAJI MIRADI

    December 04, 2025
  • MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA VITUO NA WASIMAMIZI WASAIDIZI JIMBO LA KONDOA YAFUNGWA

    October 27, 2025
  • UCHAGUZI MKUU 2025: MAFUNZO KWA WATENDAJI WA VITUO KDC YAFUNGULIWA

    October 26, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.