• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

JUMLA YA TANI 2 ZA MBEGU YA ALIZETI KUUZWA KONDOA DC KWA MKOPO NA KWA GHARAMA NAFUU

Posted on: December 29th, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kupitia Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwa kushirikiana na Kampuni ya ONE ACRE FUND imezindua zoezi la uuzaji na ukopeshaji wa mbegu ya Alizeti aina ya Hysun kwa Wakulima tarehe 27 Disemba, 2024.

Akizungumza na wakulima wa vijiji vilivyoanza kupata huduma hiyo, Mratibu wa zoezi hilo, Ndg.Raphael Challema amesema zao la alizeti ni zao la kimkakati katika Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa hivyo kuna kila sababu za kuhakikisha wakulima wanalima zao hilo kwa tija na kwa kutumia mbegu bora.

Kwa upande wake Mkuu wa Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvivu, Ndg. Juvenal Munishi amewasisitiza wakulima kuchangamkia fursa ya kulima zao hilo ili kuongeza tija na kipato.

Ndg.Munishi amesema pia kuwa Serikali imeleta mbegu bora ya alizeti aina ya Sunbloom kiasi cha tani 15 na zimesambazwa kwenye kata zote 21. Bei ya kilo 2 yenye uwezo wa kupandwa ekari 1 inauzwa kwa bei ya shilingi 20,000 badala ya shilingi 70,000 na  kuwahimiza wakulima kupata huduma za mbolea za ruzuku kutoka vituo vya Bereko, Bukulu, Loo, na Haubi.

Sambamba na hilo Ndg. Munishi amewakumbusha wakulima kuendelea kuandaa mashamba na kutumia kanuni za kilimo kilimo kwa lengo la kuzalisha kwa tija.

Kwa upande wake mwakilishi kutoka Kampuni ya One Acre Fund Bw.Salehe Joram amesema lengo la zoezi hilo ni kubadili mtazamo wa mkulima kwa kumletea mbegu bora Ili akilima leo kesho afanye maamuzi kwa ajili ya kwenda na kasi ya kilimo cha kisasa.

Zoezi hili ni endelevu na miongoni mwa vijiji vilivyopatiwa huduma hiyo ni pamoja na Salanka,Masawi,Bukulu,Mnenia,Pahi,Bumbuta na Humai.Bei ya mbegu kwa kilo 1 ni shilingi 35,000 badala ya shilingi 50,000. Ikiwa mkulima anahitaji mbegu hizi kwa mkopo atapaswa kulipia shilingi 18,500 kwa mara ya kwanza na kisha atalipia kiasi kilichobaki ndani ya miezi 3.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 12, 2025
  • RC SENYAMULE AFANYA ZIARA KONDOA DC

    May 13, 2025
  • ELIMU YA UZUIAJI UPOTEVU WA NAFAKA KUWA SULUHISHO LA USALAMA WA CHAKULA KONDOA DC

    May 11, 2025
  • WANANCHI KIJIJI CHA ITUNDWI WAADHIMISHA KWA VITENDO SIKU YA AFYA NA LISHE

    May 07, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.