• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

ELIMU YA UZUIAJI UPOTEVU WA NAFAKA KUWA SULUHISHO LA USALAMA WA CHAKULA KONDOA DC

Posted on: May 11th, 2025

Ushirikiano madhubuti baina ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa na Shirika lisilo la kiserikali Rikolto umeendelea kuchochea maendeleo ya Kilimo kwa Wakulima dhidi ya Elimu ya Usalama wa Chakula.

Haya yanajiri ikiwa ni baada ya Utoaji wa Mafunzo ya Awali katika Mradi wa Vijana Kilimo Biashara (VKB)kwa Maafisa Ugani ngazi ya Kata na Viongozi Wakulima, Uanzishwaji wa Mashamba darasa 15 kwa vikundi vya Wakulima juu ya uzalishaji bora wa mazao ya Alizeti na Mtama ambayo kwa sasa yako katika hatua ya mavuno.

Akifungua mafunzo ya siku moja kwa Wataalam hao na Viongozi Wakulima, Mkuu wa Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Ndg.Juvenal Munishi amesema mafunzo hayo yanalenga kujenga uelewa wa pamoja dhidi ya namna bora ya kuzuia upotevu wa nafaka, akiwahimiza kuyatumia mafunzo hayo kwenda kuwafundisha wakulima mafunzo hayo kwa uhalisia yatakayochochea mabadiliko dhidi ya usalama wa chakula.

Kwa upande wake Mratibu wa Mradi wa Vijana Kilimo Biashara (VKB) Ndg. Inocent Usiri amesema matarajio ya mafunzo hayo yanalenga kubadilishana uzoefu pamoja na kufahamu teknolojia mbalimbali zinazoweza kutumika kwa ajili ya usalama wa chakula  kabla na baada ya mavuno.

Mafunzo hayo yamekwenda sambamba na mada mbalimbali zikiwemo ; Upotevu wa Mazao, Uvunaji wa Mazao, Usafirishaji na Ukaushaji, Upukuchuaji, Uchambuaji na Upangaji madaraja pamoja na Uhifadhi wa mazao.

Kata zinazonufaika na Mradi huu wa Vijana Kilimo Biashara(VKB) ni pamoja na Thawi, Bereko, Salanka, Soera, Kikore Kisese Itololo, Mnenia, Pahi, Keikei, Haubi,Kikilo,Hondomairo na Kalamba.

Hatua hii ìnalenga kubadilisha maisha ya wakulima zaidi ya 8000 na kuimarisha kilimo endelevu katika Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 12, 2025
  • RC SENYAMULE AFANYA ZIARA KONDOA DC

    May 13, 2025
  • ELIMU YA UZUIAJI UPOTEVU WA NAFAKA KUWA SULUHISHO LA USALAMA WA CHAKULA KONDOA DC

    May 11, 2025
  • WANANCHI KIJIJI CHA ITUNDWI WAADHIMISHA KWA VITENDO SIKU YA AFYA NA LISHE

    May 07, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.