• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DIVISHENI YA MIUNDOMBINU KONDOA DC YAKABIDHIWA GARI JIPYA KWA AJILI YA UFUATILIAJI MIRADI

Posted on: January 6th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg.Shaban Millao mapema Januari 2, 2025 amekabidhi Gari Mpya aina ya Land cruiser Hardtop lenye thamani ya Tsh Mil 226 kwa Divisheni ya Miundombinu itakayotumika katika shughuli za ufuatiliaji na Usimamizi wa miradi ya maendeleo inayokelezwa ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

Ndg.Millao ameielekeza Divisheni ya Miundombinu kuhakikisha inatunza na kulitumia vyema Gari hilo katika shughuli zote za  ukaguzi wa miradi mbalimbali kwa wakati  inayotekelezwa katika Halmashauri ili kuendana na kasi ya Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika utekelezaji wa majukumu yake.

Ndg.Millao ameongeza akisisitiza "Ununuzi wa Gari hili umetokana na fedha zilizoletwa na Serikali Kuu ili kuziwezesha Halmashauri kutimiza malengo kusudiwa, hivyo ikawe chachu kwenye ufuatiliaji na usimamizi wa miradi yote inayotekelezwa kwa ubora unaotakiwa".

"Kununuliwa kwa gari hili kutaongeza kasi kubwa ya ufatiliaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo katika halmashauri ya wilaya ya kondoa ikiwarahisishia Maafisa Waandisi kufanya kazi zao kwa ufanisi zaidi ikiendana sambamba na kauli mbiu isemayo "Kondoa DC hatuna jambo dogo, Tukutane Saiti".amesema  Ndg.Millao

Aidha ameongeza kuwa pamoja na shughuli za miradi ya maendeleo pia Idara nyingine zitaweza kulitumia ili kutoa huduma nzuri kwa wananchi. Amemshukuru Mhe. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa gari hilo na amemuahidi kutekeleza majukumu yake kwa wakati na kwa ubora.

Naye Mhandisi wa Halmashauri Eng. John Chizima amemshukuru Mkurugenzi kwa kuona umuhimu wa Idara yake kuwa na chombo cha usafiri amemuahidi Mkurugenzi kusimamia miradi kwa uharaka na miradi itakuwa bora inayoakisi thamani ya fedha na pia ameahidi kulitunza gari hilo.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 12, 2025
  • RC SENYAMULE AFANYA ZIARA KONDOA DC

    May 13, 2025
  • ELIMU YA UZUIAJI UPOTEVU WA NAFAKA KUWA SULUHISHO LA USALAMA WA CHAKULA KONDOA DC

    May 11, 2025
  • WANANCHI KIJIJI CHA ITUNDWI WAADHIMISHA KWA VITENDO SIKU YA AFYA NA LISHE

    May 07, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.