• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

CRESD KUWANUFAISHA WAKULIMA VIJANA WA ZAO LA ALIZETI-KONDOA DC

Posted on: September 15th, 2025

Taasisi ya ubunifu na uwezeshaji wa maendeleo vijijini (CRESD) kwa kushirikiana na Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa wametoa elimu juu ya kilimo cha kisasa na Kanuni Bora za kilimo cha alizeti.

Akizungumza wakati wa uwasilishaji katika mafunzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Kondoa Irangi, Msimamizi wa Mradi wa Vijana na ujasiriamali na maendeleo lishe yajayo (YEFFA) Bw. Jackson Lumbagi, amesema kuwa mafunzo hayo yamelenga katika kuwajengea uwezo wakulima viongozi katika ulimaji wa zao la alizeti kwa kutumia mbinu za kisasa na endelevu.

 Aidha, Bw. Lumbagi ameongeza kuwa utoaji wa elimu ya ugani kwa wakulima viongozi (VBA) unalenga kupunguza upotevu wa mazao hasa zao za alizeti na kulifanya zao la kimkakati.


"Baada ya mafunzo haya tunatarajia kila mkulima Kiongozi atakwenda katika kata yake atashirikiana na Afisa Ugani wa eneo hilo kuwafundisha na kueneza elimu hii kwa wakulima angalau 200 wa eneo husika"


"Mafunzo  haya ni ya siku mbili na yanajumuisha Wakulima Viongozi 50 kutoka katika wilaya mbili za Kondoa na Chemba" aliongeza Bwn. Lumbagi


Kwa Upande wake Afisa Kilimo kutoka Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dodoma Bi. Julieth Ezidory ameipongeza taasisi ya  CRESD kwa kuandaa mafunzo hayo na kuahidi ushirkiano wa dhati katika sekta hiyo ya kilimo.


"Lengo la Serikali yetu ni kuwasaidia wakulima na kuwanyanyua kiuchumi kupitia mafunzo mbalimbali na uwezeshaji  kwa hiyo ni juu yenu kama wakulima viongozi kujitoa kwa hali na mali kuhakikisha kuwa mnapata kilicho bora kabisa" aliongeza  Bi.Julieth


Nae mwenyekiti wa wakulima viongozi hao (VBA) Bihulu Omar Ali ameshukuru CRESD kwa mafunzo hayo na kuahidi kuyafanyia kazi ili kuongeza tija katika zao la alizeti sanjari kutoa mafunzo hayo kwa wakulima wengine katika maeneo mbali mbali vijijini.


Mafunzo hayo ya elimu kwa mkulima katika uzalishaji wa zao la alizeti kisasa yameandaliwa chini mradi endelevu wa YEFFA na kufadhiliwa na taasisi ya muungano wa mapinduzi chanya ya kijani barani Africa (AGRA)  ambapo Wilaya ya Kondoa ni moja kati ya wanufaika wa mafunzo Katika mkoa wa Dodoma.

Matangazo

  • MATOKEO KIDATO CHA SITA July 07, 2025
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 2025 June 06, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • CRESD KUWANUFAISHA WAKULIMA VIJANA WA ZAO LA ALIZETI-KONDOA DC

    September 15, 2025
  • KAMATI YA LISHE KONDOA DC YAFANYA ZIARA KATA YA BUMBUTA

    August 22, 2025
  • KONDOA DC YAADHIMISHA JUMA LA ELIMU YA WATU WAZIMA KWA KISHINDO

    August 21, 2025
  • NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI AKAGUA UTEKELEZAJI WA KAMPENI YA CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO KONDOA DC

    July 22, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.