• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Chanjo ya Kuzuia Saratani ya Mlango wa kizazi kutolewa Wilaya ya Kondoa.

Posted on: May 9th, 2018

Uzinduzi wa Kutolewa kwa chanjo ya mlango wa kizazi kwa wasichana wa miaka 14 umefanyika leo tarehe

08/05/2018 katika Wilaya ya Kondoa Mgeni Rasmi akiwa Mhe. Winnie Kijazi Katibu Tawala wa Wilaya ya

Kondoa akimuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe.Sezaria Veneranda Makota ambaye ndiye Mwenyekiti

wa Kamati ya Afya ya Msingi ya Wilaya,Katibu wake akiwa Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Kondoa na

 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kwani Uzinduzi huu umejumuisha Halmashauri zote mbili ndani ya Wilaya moja

ya Kondoa.

Wajumbe wengine ni Wakurugenzi wa Halmashauri zote mbili halmashauri ya Wilaya na Mji wa Kondoa,pia Wakuu wa

Idara ya Elimu Msingi na Sekondari kutoka halmashauri zote,Wakuu wa idara ya Mipango,maendeleo ya Jamii na Utumishi.

Wengine ni Viongozi wa Dini pamoja na Wageni Maarufu.

Katika Uzinduzi huo,Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya kwa kusirikiana wa Timu iliyopata mafunzo walielezea kwa

kina juu ya chanjo hii ya Human Papilloma Virus(HPV) inayozuia kansa ya mlango wa Kizazi.Wajumbe walipata nafasi ya

kuuliza maswali ili kupata ufafanuzi juu ya madhara yanayoweza kujitokeza.Mganga Mkuu amewathibitishia kwamba chanjo hii

ni salama na haina madhara yoyote kwa watumiaji isipokuwa inafanya kazi tu iwapo mtumiaji atakuwa hajaathirika na ugonjwa

huu.

Mikakati ya pamoja imepangwa ili kuhakikisha jamii wanapata elimu ya kutosha na kuhamasisha kuwaruhusu watoto wao wa kike

wa miaka 14 wanapata chanjo hii kwa manufaa ya Afya zao.

Watu maarufu viongozi w dini pamoja na wajumbe wengine wamethibitisha kuunga mkono utoaji wa Chanjo hii na wako tayari kuhamasisha

Jamii kuwezesha wasichana wote wa miaka 14 wanapata chanjo hii.Katibu Tawala pia amethibitisha kwamba ofisi ya Mkuu wa Wilaya kwa

 pamoja watashiriki kuhakikisha zoezi linafanikiwa.


Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.