• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Baraza la Madiwani lapokea na kujadili taarifa mbalimbali za Kamati

Posted on: April 25th, 2018

          Kikao cha baraza la madiwani kilichoketi kwa siku mbili tangu jana tarehe 24/04/2018 na kumalizika leo tarehe 25/04/2018

 kilicho fanyika katika ukumbi wa kondoa Irangi ,katika ufunguzi wa kikao hiki mhe, mwenyekiti wa halmashauri ndg Gasper Mwenda

 alidokeza kua pamoja na uwasilishaji wa taarifa za kamati mbali mbali pia alitambua uwepo wa meneja wa TARURA kondoa aliekuja

 kwa lengo la kutoa taarifa ya miradi mbali mbali ya barabara inayotekelezwa katka halmashauri ya wilaya pia kutolea ufafanuzi barabara 

zilizoharibika vibaya na jinsi ambavyo wamejipanga kuzifanyia matengenezo ili kufanya huduma za kijamii kurejea na wananchi kufanya 

shughuli zao za kuliletea maendeleo taifa.

      Meneja wa wakala wa barabara za vijijini na mijini(TARULA) alitoa ufafanuzi wa kina na kudokeza kua ujenzi wa daraja la kisese umefikia

 asilimia 76 pia miradi iliyokamilika ambayo ilikua ni viporo vya mwaka  jana, kuhusiana na ujenzi wa barabra mbalimbali zinazojengwa wilayani

 hapa kwa ufadhili wa serikali kuu, Tanroads pia wafadhili kutoka mataifa rafiki pamoja na maelezo hayo waheshimiwa madiwani waliuliza maswali

 mbali mbali kwa kadri walivoweza na kupewa majibu ambayo waliridhika nayo na kumpongeza kua aongeze bidii maana hali siyo shwari huko vijijini.

        Pia waheshimiwa madiwani walipokea na kujadili  taarifa za utekelezaji wa kazi za maendeleo kwa kipindi cha robo ya tatu (januari - machi 2017/2018)

 Kamati zilizo wasilisha taarifa na kujadiliwa pia kutolewa ufafanuzi na wataalam toka idara mbalimbali ni pamoja na kamati ya uchumi ,ujenzi na  mazingira,

kamati ya elimu, Afya na Jamii ,kamati ya fedha ,uongozi na  mipango na kamati ya kudhibiti maambukizi ya ukimwi. mijadara mirefu ilifanyika na mwisho kufikia

 makubaliano yapamoja kwa lengo moja la kuboresha ufanisi katika kuwahudumia wananchi na kuiletea kondoa maendeleo katika kuijenga upya kuelekea 

uchumi wa viwanda.Katika picha ni  miongoni mwa wahesimiwa madiwani ambao ni wenyeviti wa kamati zlizowasilisha taarifa za utekelezaji wa shughuli za 

maendeleo katika robo ya tatu ya mwaka 2017/2018.

 

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.