• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kondoa District Council
Kondoa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
      • Background
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda ,Biashara na Uwekezaji
      • Planning ,Monitoring and Statistics
      • Huduma za Afya ,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Internal Audit
      • Procurement
      • Bee
      • Sheria
      • Information and Communication Technologies (ICT)
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance and Planning
      • Mipango na Mazingira
      • Economy ,Health and Education
      • AIDS
      • Maadili
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

ALMASHAURI YA WILAYA YA KONDOA YATIMIZA AGIZO LA MHE.MAKAMU WA RAIS

Posted on: January 10th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg.Shaban Millao na Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe. Fatma Almas Nyangasa kwa kushirikiana na wananchi wa kijiji cha Hurui wamejumuika pamoja katika zoezi la upandaji miti.

Hayo yamejiri ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Mpango,alipofika mapema Mwezi Agosti 2024 katika zoezi la Uzinduzi wa Daraja la Hurui lililopo katika Kijiji cha Hurui Kata ya Kikore, akiagiza uoteshwaji wa miti pembezoni mwa kingo za daraja hilo.

 Mhe.Nyangassa amesema ni jukumu la wote katika kuitunza miti yote iliyooteshwa katika eneo lote linalozunguka Daraja la Hurui akiwataka kila mmoja awe mwangalizi na mtunzaji wa mazingira kwa kufuata kanuni zote za utunzaji wa mazingira. Miti ipatayo 900 imepandwa katika Bonde la Mto huo, katika eneo la ukubwa wa takriban ekari tatu, lenye upana wa mita 60 toka katika kingo za mto huo. Miti hiyo imetolewa na ofisi ya TFS Wilaya ya Kondoa na kuoteshwa na wananchi wakishirikiana na watumishi wa umma walipo Wilayani Kondoa.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji Ndg.Shaban Millao amewapongeza wananchi hao waliojitokeza kwa wingi katika zoezi hilo la upandaji wa miti,akitumia fursa hiyo kuwahamasisha kupanda na kutunza angalau miti 20 kwa kila kaya katika vijiji vyote 84 na kwa kaya itakayofanya vizuri kuzawadiwa kiasi cha Tsh 50,000/=.

Naye Diwani mwenyeji wa kata ya Kikore Mhe.Ngware ametilia mkazo juu ya kauli mbalimbali za viongozi kuhusu utunzaji wa daraja hilo wananchi kutunza mazingira yanayolizunguka daraja hilo kwani ni msaada mkubwa katika kurahisisha usafiri na usafirishaji na  shughuli nyingine za maendeleo kwa kuiunganisha wilaya ya Kondoa iliyopo Mkoa wa Dodoma na Babati Mkoa wa Manyara.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 06, 2025
  • JEDWALI LA MATUKIO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024. October 24, 2024
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA October 15, 2024
  • Fungua zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI KONDOA DC WAMPONGEZA MHE.RAIS SAMIA

    May 04, 2025
  • VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR WATEMBELEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO-KONDOA DC

    May 03, 2025
  • MAJIBU YA HOJA ZA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI SASA KUFANYIKA KIDIGITALI

    April 16, 2025
  • MKURUGENZI MILLAO AONGOZA BONANZA LA MNENIA KUELEKEA MWENGE WA UHURU 2025

    April 16, 2025
  • Fungua zaidi

Video

"Kipaumbele changu Kondoa ni Elimu"-Dkt. Ashatu Kijaji(MB)
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu za Ruhusa
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Watumishi portal
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • Chuo cha mipango Dodoma
  • Chuo kikuu Mzumbe
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ajira
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wakala ya serikali Mtandao

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo Ramani

Wasiliana Nasi

    KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE

    Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa

    Simu : 0262360313

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.