Friday 24th, March 2023
@ukumbi wa kondoa irangi
MWALIKO WA KUHUDHURIA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI
Mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya kondoa anachukua fursa hii kukualika katika kikao cha Baraza la Madiwani katika kipindi robo ya Tatu
(Januari-Machi ) 2016/2017. Kitakachofanyika kuanzia tarehe 27/04/017-28/04/2017 katika ukumbi wa kondoa irangi.
KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE
Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa
Simu : 0262360313
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.