shughuli za utalii katka wilaya yetu zinahusisha michoro ya miambani (Rock paints) ambayo ni inajulikana kama mambo ya kale,michoro hii inapatikana kondoa,pia imekua kivutio kikubwa kwa watalii wa ndani na nje ya nchi ili kutaka kujua historia ya mambo yote yaliyokua yakifanywa na watu wa enzi hizo pia shughuli walizokua wakijishughulisha nazo nyakati hizo.Kwa taarifa zaidi bofya hapa.kondoa rock art bronchure pdf.pdf
KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE
Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa
Simu : 0262360313
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.