Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa anapenda kuwatangazia Wananchi wote kuwa kutakua na
Usaili wa kada ya Watendaji wa Vijiji Daraja la tatu walioomba kufanya kazi Halmashauri ya Wilaya Kondoa. tarehe 28/05/2018.
Ili kujua washiriki watakao husika fungua kiunganishi hapa chini;
KONDOA DISTRICT COUNCIL ,KILIMANI STREET
Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa
Simu : 0262360313
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.